The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
Salama kabisa si kuna vifaru, ndege za kivita, AK 47 fanya fyokofyoko uoneKwa kutumia mamlaka liyopewa kwa nguvu ya walio wengi bungeni. Akaamua kuukandamiza utu kwa kuna mjadala wa mwanafunzi zaidi ya 7000 hauna uzito na hauna mashiko.
Huku ni kudharau watanzania. Ni kutumia mamlaka kuwanyima haki watoto wale wa maskini ambayo JPM amekuwa akiimba kila Leo kuwa anawajali na ndio waliomchagua.
Huu ni unafiki wa hali ya juu kwa watanzania. Eti Tindu lisu na Bulaya kuliona bunge ni 2017. Hivi ni hiyo kamati iliyowapeleka bungeni au? Naibu spika ametumia nguvu kuilinda serikali. Kitu ambacho ni udhalimu kwa watanzania waliowachagua wawakilishi wao wawawakilishe bungeni. Leo wanaambiwa wasihudhurie vikao kwa kutetea bunge kuonekana live. Ubabe huu wa museven mnataka muujaribu na huku?
JPM Sijui tunakoelekea kama ni salama.
Nidhamu ni muhimu sana ika sidhani kama hiyo ni njia bora ya kutengeneza hilo. Kanuni zipo na zitumike kuleta nidhamu kwa usawa.
Hahahaaaa.... Si vyema kufika hukoSalama kabisa si kuna vifaru, ndege za kivita, AK 47 fanya fyokofyoko uone
Jamani alisema mwenyewe fyokofyokoHahahaaaa.... Si vyema kufika huko
Zama hizi ubabe haufai. Ulifaa sana kipindi kile RAIA hawajafunguka sana. Boss wa nchi ana ubabe flan hivi wenye madhara kwa baadayeJamani alisema mwenyewe fyokofyoko
Jpm hela utazitoa Wapi kila dhehebu likidai barabara utaleta shida kidogoKweli mfumo kristo hauwezi kuisha nchi hii
Rais anasemaje eti alimsikia mzee wa upaka analalamika kuwa barabara inayopita kwake mbovu kwa hio kaenda kujionea mwenyewe...
Na katoa ahadi ya kujengwa
Hivi anavyofanya JPM kama angekuwa anafanya Jk, Wakristo wote kwa pamoja wangepaza sauti kukemea hilo jambo
Lakini kwa kuwa Waislam wa Tanzania ni wapole na wanyenyekevu kwa chama na serikali... wanaamua kuumia ndani kwa ndani
Mh haya BwanaWaislam wa tanzania wameanza upole toka lini?
Ina mana wewe ujui upole wao , Dhuluma wanazofanyia na walizokwisha fanyiwa unadhani wakristo wanaweza kuvumilia ?Waislam wa tanzania wameanza upole toka lini?
Dhuluma zitajeIna mana wewe ujui upole wao , Dhuluma wanazofanyia na walizokwisha fanyiwa unadhani wakristo wanaweza kuvumilia ?
Nimeipenda sentensi ya mwisho kwamba kanuni zipo na zitumike kuleta nidhamu kwa usawa. Hivi kanuni hazikutumika kwa usawa?Kwa kutumia mamlaka liyopewa kwa nguvu ya walio wengi bungeni. Akaamua kuukandamiza utu kwa kuna mjadala wa mwanafunzi zaidi ya 7000 hauna uzito na hauna mashiko.