Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
sasa kazi ya mwanasiasa ni nini kama mnamkataza asifanye siasa.Stori tu, watu waache blah blah na siasa za majukwaani, uchaguzi ulishapita...sasa ni kazi tu kujenga nchi!! Mengi uloandika si ya kweli na hayatatokea kamwe, acheni kutumia demokrasia kama kichaka cha kutaka kuvuruga na kurudisha nyuma nia ya dhati kabisa ya kuweka nchi ktk mstari ulonyooka! Mizengwe basi, sasa kazi tu!! Kanyaga twende, Baba Jesca.
Unajenga nini Ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo weweStori tu, watu waache blah blah na siasa za majukwaani, uchaguzi ulishapita...sasa ni kazi tu kujenga nchi!! Mengi uloandika si ya kweli na hayatatokea kamwe, acheni kutumia demokrasia kama kichaka cha kutaka kuvuruga na kurudisha nyuma nia ya dhati kabisa ya kuweka nchi ktk mstari ulonyooka! Mizengwe basi, sasa kazi tu!! Kanyaga twende, Baba Jesca.
siasa sio uchaguzi tu na agenda ya hiyo mikutano sio uchaguzi.Uchaguzi ushapita bwana mkubwa, siasa sio kwenye majukwaa tu. Waende bungeni wakafanye kazi za wananchi...! Blah blah hazijengi
tanzania sio hayo tu,Kwahiyo Tanzania ni sukari tu na wanafunzi 7000+ wa UDOM basi, hakuna mengine?? Jifunze kuangalia picha kubwa kwa ukubwa wake...siasa za majukwaani hazijengi.
Mkuu,wamemfanyaje?yes wameanza na account ya Godlisten Malisa.
wameblock FB account yake.Mkuu,wamemfanyaje?
Kwanini upangie watu namna yakufanya Siasa?Uchaguzi ushapita bwana mkubwa, siasa sio kwenye majukwaa tu. Waende bungeni wakafanye kazi za wananchi...! Blah blah hazijengi
Na kiukweli MALISA GODLISTEN anatuelimisha vitu vingi kweli kweli nimepata mambo mengi kupitia huyu Kijana!,His post always come with relevance evidence!yes wameanza na account ya Godlisten Malisa.
yes wameanza na account ya Godlisten Malisa.
Hawa Lumumba utasumbuka sana kuwaelewesha Chaguzi umeisha sawa lakn kuna mambo ya kuweka sawa!Kumshauri Raissiasa sio uchaguzi tu na agenda ya hiyo mikutano sio uchaguzi.
kumsihi Magufuli asikurupuke kwenye issue kama ya sukari au issue ya vijana 7000 wa udom sio kujenga nchi??
mnaogopa nini?
Yeah ni kweli kabisa!Is this true? Jamani?