Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
sasa kazi ya mwanasiasa ni nini kama mnamkataza asifanye siasa.Stori tu, watu waache blah blah na siasa za majukwaani, uchaguzi ulishapita...sasa ni kazi tu kujenga nchi!! Mengi uloandika si ya kweli na hayatatokea kamwe, acheni kutumia demokrasia kama kichaka cha kutaka kuvuruga na kurudisha nyuma nia ya dhati kabisa ya kuweka nchi ktk mstari ulonyooka! Mizengwe basi, sasa kazi tu!! Kanyaga twende, Baba Jesca.
mnaogopa nini.