Hahaha...umetisha kamanda!
Napatwa na kwikwi, akitajwa huyu nduli,
Naishia kusema kwi, kwa huyu baladhuli,
Bora tuseme hasimikwi, kwa ijayo serikali.
Watanzania tutajuta, ng'ombe kuikabidhi sukani.
mkuu, popote ulipo...heshima kwako kamanda"Memori fullu!"
Ukigeuka hivi, huyu kacharazwa na Dc, ukitaka kujikuna, huyu kanyimwa dhamana, ukisema uanze kusali, huyu kasepa na rambirambi! Ukitaka kwenda kuoga, huyu anazuia sabuni hadi ulipe deni la ugoro... Ukitaka kuketi kula, huyu ashaagiza uhame mji bila ndala!
Ukitaka kujipumzisha baada ya stress za mchana, buldoza linachungulia dirishani! Ukisema ushike mswaki upunguze wadudu mdomoni, mkemia anataka mkojo apime wadudu wa mdomoni...
Ukitaka kula makande, huyu ashazuia mahindi anasema yasagwe! Ukiinama ufunge kamba za viatu, noah ishafunga breki miguuni... Ukisema ufanye kazi kwa bidii, huyu anataka ukrem jina lake... Ukitaka kulia kwa ghadhabu, unawekwa korokoroni kwa kupigia watu kelele isiyowahusu....
Ukitaka kuandika shairi lako, washakudaka na sheria ya mitandao... Ukitaka kupanda bajaji, washakulazimisha upande pangaboi... Ukimdai bosi mshahara wako, ashakutupia jembe ukalime... Ukikodisha shamba ukalima, jua lishaizidi mvua na hakuna msaada....
Ukitaka kumpeleka mwanao chuo, washakuitia mkopo kwenye ofisi za chama... Ukitaka kwenda Zimbabwe, usharudishwa na ushuzi wa babalao.... Ukitaka kuwa karibu na mema ya nchi, ushaulizwa kama wewe ni "sibling".'.. Ukitaka haki yako, washakulazimisha usimamishe msafara wake....
Ukitaka "kupupu," ushadakwa uoneshe risiti ulikula wapi.... Ukitaka jshshsjsosks, jshdjejsie????(peni imegoma ngoja nijaribishe tena...) nsnsjshdeueuhdisisksks! (Naenda dukani kusaka nyingine)
Ila nikirudi, Hasira zote nazimaliza kwa marafiki wanaopost picha kuanzia januari hadi disemba...... No, sio hao... Ngoja.... Nimekumbuka... Wale wanaohamisha posti za wenzao hawataki kushea, wanazikopi na kuzifanya zao.... Nawablokuuuuuuuuuuuuu hadi vidole viume....
Memorifufjfjdirirrirkkkmmldjdjdieiss!'&#&#$&÷&#
Wewe hujabomolewa nyumba yako iliyopo mita 120 toka hifadhi ya barabara, ndiyo maana unasema hivyo.Wewe naona unamtafuta mkulu maana kule kwingine umemwita ng'ombe na huku nduli. Mkuu una hasira mbaya sana na huyu mtu.
Wewe hujabomolewa nyumba yako iliyopo mita 120 toka hifadhi ya barabara, ndiyo maana unasema hivyo.
hakikaaAkupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Taifa la kidemokrasia kama Tanzania haliendeshwi kama rais anavyoona, bali linaendeshwa kwa kufuata katiba, sheria na miongozo mbalimbali. Na sina shaka hata chembe rais wetu anafata hivyo.Muda mwingine unaweza kuonyesha uwerevu lakini kupitia uwerevu wako ujinga wako pia ukaonekana, hivi Dkt Magufuli tangu aingie madarakani alikua anaenda na bajeti aliyoiandaa au aloandaa Kikwete? Tabia za namna hii haitusaidii sisi kama watanzania, hata kama aumpendi jitahidi kupima kwa haki, nafikiri unafuatilia bunge la bajeti na kilichomo unakiona hapo ndo tuanzie, nchi haiendeshwi wewe unavyotaka bali Rais anavyoona inafaa muda wa kupima anafanikiwa au la bado aujafika kupitia bajeti hii tutaweza kupima ni kwa kiasi gani Rais anafanikiwa lakini hii tabia ya kumkatisha tamaa Rais haifai ni tabia za watu wenye husuda na zaidi wamejaliwa wanawake kuwa nazo nchi ikiyumba sio yeye Rais atakayeteseka bali ni sisi wananchi, ni jukumu letu kukosoa pale palikosewa na kuonyesha njia sahihi ya kupita lakini kukosoa tu bila kuonyesha nini kilitakiwa kifanyike hiyo ni tabia ya kike