Duuh hatari aisee hiyo keki imekua shubiriDhamira yake ni kukukomboa wewe mwananchi na Kula keki ya taifa.
Habari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
Baada ya miaka kadhaa utaelewa tuu kama sasahv umeshindwa kabisa kuelewa na kuona mema yanayoendelea nchini
Dhamira yake itajulikana vizuri baada ya kutolewa ripoti ya majadiliano ya makinikiaHabari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ref; Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepoteaHabari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana
Serious huoni? kua tuu mkweli wa moyo wako. huoni kabisa dhamira ya rais?
Kuna binadamu wanaona raha kuona wenzao wakitesekaa
Mwaka wa pili watumishi hatujaongezewa huyu baba hapanaaa...huwezi nishawishi nimkubali asilan
Sent using Jamii Forums mobile app
kuishi kama mashetaniHabari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumedhamilia kwelikweli kufikia 2020 tutakuwa na bombadia kama daladala za mbagala to ubungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kua nchi ya viwanda, ili tuwe na uchumi endelevu
mafisadi hayana rangi
kuipeleka nchi shimoni na kuzalisha vibaka na majambazi kwa wingiHabari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app