Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Habari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
images.jpg

Mwananchi-cartoon-fp-130715-21.png
 
Habari wana jamvi, nimejaribu kutafakari sana juu ya dhamira ya mkuu wa kaya, kwa miaka miwili aliyo kaa, mpaka sasa sijajua dira yake, dhamira yake ni kuipeleka nchi wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
Baada ya miaka kadhaa utaelewa tuu kama sasahv umeshindwa kabisa kuelewa na kuona mema yanayoendelea nchini
 
Kua nchi ya viwanda, ili tuwe na uchumi endelevu

mafisadi hayana rangi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom