Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.


Future zenu ziliharibiwa na Kikwete kwani ni yeye ndiye aliyewadanganya kisha akawatekeleza.
 
Nimekuelewa vya kutosha mkuu asitupoteze kwenye ramani kwakweli.
 
Mkuu kwani Magufuli ameshamaliza miaka yake kumi?We are just assuming that he will make it to the second term, because the constitution allows him.

Hata hivyo kwa jinsi taifa lilivyokuwa limekengeuka, kazi ni ngumu sana,kwa hiyo sio kazi ya mwaka mmoja,miwili au hata mitatu.Jamani inabidi tuwe na subira.

To me, overall anaendelea vizuri.Mwenye macho haambiwi tazama.In general,it's job well done.Yeye ni binadamu jamani,he can't be perfect.
 
Mimi kipato changu kwa muda sasa ni Tsh 1.5m kwa mwezi. Unga niliokua nanunu kwa tsh. 11,000 sasahivi ni tsh. 8,000. Gas ya tsh. 52,000 sasa hivi ni 42,000. Toka tegeta hadi kivukoni ni tsh 600 badala ya 1400.

Nimmpeleka mgonjwa wangu muhimbili, tumepokelewa vizuri alilazwa kwa wiki moja na kufanyiwa operation ya jicho na tulichangia tsh. 120,000 tu, tena kwenye wodi safi na madaktari na manesi wanao nyenyekea wagonjwa. Binafsi naipongeza sana sana serikali ya JPM kwa sababu imenipunguzia makali ya maisha. Ila mimi ni mfanyakazi na nafanya kazi kwa bidii na kazi yangu ainaga magendo.
 
unaamini wewe na maisha unayoishi sasa wazazi wako na ndugu zako wana mchango wao kama unaamini sema na kama huamini pia sema
 
Mfano huo hauendani kabisa na kiongoz wa nchi

Mfano wafanyakazi wa serkali wanatakiwa kuongezewaa annual incrimate

Eb fikiria wasiopongezewa miaka mitano au kumi watakuwa wanedhulumiwa kiasi gani?



mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Eti mchana torch, usiku magogo.

Vijana mna maneno sana

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwani Magufuli ameshamaliza miaka yake kumi?Kazi hii ni ngumu,kwa hiyo sio kazi ya mwaka mmoja.Jamani inabidi tuwe na subira.Hata hivyo overall,anaendelea vizuri.Mwenye macho haambiwi tazama.
Miaka kumi! Hivi kumbe mmeisha badilisha katiba?
 
Endelea kula ugali wa shikamoo huna ulijualo.
 
Wewe ndio hopeless mjomba. Pambana na hali yako, acha Mheshimiwa Rais ainyooshe Nchi. Kama huoni la maana linalofanyika ruksa kuhama Nchi, ondoka tuachie Nchi yetu, mkimbizi wewe.
 
Unafikiri nchi ipo kwenye truck inayotakiwa?

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Lakini umegusa upande mmoja tu mkuu

Nikikuambia mfno wa kilimo tumesikia soko la mbaazi limeshuka toka 2000/1850 had 200/150

Je uyu mkulima akiikosoa serkali atakosea?

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mkuu sana usiangalie kitu katika ego moja

Matokeo ya uchumi wa. Nchi kudorora huchangiwa sana na serkali iliyopo madarakan

Mfno Zimbabwe haina tena uwezo wa kikontoroo sarafu yake means uchumi wake ni umefilisika

Na Tanzania tuna kila sign tunaelekea kwenye kuanguka Zimbabwe

Kwann tusichukue hatua

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Endelea kula ugali wa shikamoo huna ulijualo.
Tena ule mchele wa tsh.2000 sasa ni 1500. Kitoweo toka tsh7000 hadi 5000. Maji nilikua nalipa tsh 80,000/ kwa mwezi sasa nalipa tsh. 30,000/tena maji safi na ya kutosha. Hapo awali maji yalikua na matope/mchanga. Ujambazi katika eneo letu sasa umepotea. Kwangu maisha yamekua bora zaidi kuliko wakati ule. Sasa hivi nimeanza kununua matofali 300 kwa mwezi na nina matumaini baada ya miezi 10 nitaanza kujenga. Namshukuru sana JPM.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…