Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
....Utaua Watoto Baba Jeni weee! Ulipotupita kituo cha basi, na mvua inanyesha......Yu wapi Hamza Kaamka? Mwana Kasimbaghu?
 
Reactions: SDG

Kukomesha rushwa, kukusanya kodi na uwajibikaji makazini ni maendeleo priceless.
 
hivi zaidi ya kulipa kodi mnataka wananchi tufanye nini? sera mbovu na utawala wa kilimbukeni na kishamba wa magufuli ndio tatizo la nchi hii kwa sasa.
 
UKAWA mmempa ugombea urais Lowassa baada ya kumuita fisadi miaka karibu kumi. Na sababu iliyowafanya mumpe ugombea rais sio maendeleo. Hamfichi mnasema ni kwa sababu anapendwa na watu.
Hiyo nchi Mungu aisaidie. Kwa wenzetu mtu akipata kashfa mpaka kuachia ngazi uwaziri mkuu. Acha kugombea urais hata kwenye siasa anapotea. Na hiyo ni kama atasalimika kufungwa jela kama gavana McDonald wa Virginia Marekani.
 
Anachoweza kuwapa mimba wake za watu na kucheza na akina bashite
 
Reactions: SDG
hivi zaidi ya kulipa kodi mnataka wananchi tufanye nini? sera mbovu na utawala wa kilimbukeni na kishamba wa magufuli ndio tatizo la nchi hii kwa sasa.
Mimi kwa sasa sijawahi amini nabsitowahi amini tenaa tuhuma zinazoletwa na upinzani dhidi ya viongozi wa chama tawala hata uniletee ushahidi wa kuona mimi mwenyewe.

Siku ya kusafishwa ikifika utajiraumu na utatamani umuombe radhi.

Mpaka kesho huwa namuomba, msamaha Lowasa kimoyomoyo, kikwete namuomba msamaha kimoyomoyo kwani sifa wanazozipata leo wakati kipindi kile nilitamani nikaibe lile panga la buchani basi tuu
 
mi hili la mkutano wa chama ikulu kama sio kiburi kwani watanifanyaje sijui wahusika walifikiria nini,sina kumbukumbu kama hata Nyerere mwenyewe aliwahi kufanya hivi
 
Kamuulize kwanini mtoto wake alikufa kwa kunywa sumu ndivyo akiwezacho kuzalisha hadi watoto
 
Kama umeelimika kiasi cha Phd..haiitaji saana elimu ya uchumi kuelewa kwamba kuna "economic diplomacy"...one bad move can hurt the whole system!
Kama nchi ni yetu sote,lets discuss issues,lets argue,kwa mwendo huu,sio sahihi.
 
Reactions: SDG
Ni upumbavu wa kupindukia kulinganisha vyama hivi, ccm na cdm, eti ukisema vyote ni vya hovyo . . , wakati kuna chama kimoja kimeongoza nchi kwa miaka 40 na kingine hakijapewa hata nafasi ya kuongoza Halmashauri kwa uhuru . . !

Unalinganishaje chama kimoja ccm, kina wanachama na makada IKULU, JWTZ, TISS, MAGEREZA, BUNGENI, POLISISIEM . . ,
na chama kingine (cdm) madiwani, wanachama , na wabunge wake wanawindwa kwa bunduki mchana kweupe kila kona ya nchi . . ??!

Hivi wewe una akili sawasawa kweli . . ?!!

Unafananishaje vyama hivi viwili , wakati chama kimoja kina miaka 40 ya kutawala, kikiwa ndio chama kilichoasisi mifumo hii ( ya kiusalama, uchumi, afya, sera etc) tunayotumia mpaka sasa . . , na chama kingine Sera zake hazijapata hata kujaribiwa hapa nchini . . ??!!

Kwa akili hii kwa nini nisikutukanie mamaako . . ??! [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Na hili la kusema Magufuli kabana uhuru wa kuongoea ni upuzi mtupu.

Wanaosema hayo wanayasemea kwenye mitandao na vyombo vya habari.

Kukamatwa hawakamatwi kwa kusema wanakamatwa kwa wanayoyasema. Uhuru bila ya mipaka ni fujo.

Viongozi wengi wa wapinzani wa Tanzania kama wangekuwa Marekani au Uingereza wangekuwa jela na kama wangekuwa Iran au North Korea wangekuwa jela.
 
Hapo mwisho nimecheka kwa sauti alafu nikondani mwenyewe!
Yaani sauti kubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…