Tafsida mkuuKwani unamlenga nani hasa mkuu?
tafsida siku hizi zimebaki shuleni tu kwenye fasihi na literature, ukizileta humu utakosa michango mingi nawe utakosesha pia!Tafsida mkuu
Tumia akili wewe maendeleo hayaletwi na kiongozi, kiongozi anatengenezea wapi maendeleo?? Maendeleo yanaletwa na watu huku kiongozi akihamasisha na kuunganisha watu ili wajiletee maendeleo kitu ambacho mtu wenu hana!! Nyie ndo mnaosema maendeleo yanaletwa na CCM!Maendeleo ambayo Magufuli ameyaleta kwa miaka miwili lowassa angeweza au mngekua mnatafuna tu nchi saivi, nyie ikulu sahauni tena ngoja 2020 tuwapunguze kwanza Bungeni.
Dr. Mwakabanje awamu hii lazima uwe nesi, wapi Dr. Mwaka wa sanitarian?Tumia akili wewe maendeleo hayaletwi na kiongozi, kiongozi anatengenezea wapi maendeleo?? Maendeleo yanaletwa na watu huku kiongozi akihamasisha na kuunganisha watu ili wajiletee maendeleo kitu ambacho mtu wenu hana!! Nyie ndo mnaosema maendeleo yanaletwa na CCM!
Jibu hoja acha mipasho!Dr. Mwakabanje awamu hii lazima uwe nesi, wapi Dr. Mwaka wa sanitarian?
Hii nchi lazima inyooke tu
Umrnichesha sana ..... mpaka watu waliokuwa karibu yangu wamenishangaa!!Siku zote nioiona huu uzi ni ushenzi, leo nimegundua kumbe mimi ndio nilikuwa mshenzi
Kwa hiyo itabidi tukae jangwani kwa muda wa miaka 40!!?Anatupeleka nchi ya Asali na maziwa.
Kila jambo jema lazima Kuna machungu nyuma yake!Kwa hiyo itabidi tukae jangwani kwa muda wa miaka 40!!?