Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Watu wamechoshwa na sera zako kandamizi

No viwanda

No employment opportunity

Mfumuko wa bei

Sera za chuki


Umefilisi nchi


No freedom of speech


Chuki dhidi ya upinzani


Mikopo na madeni kila siku


Umasikini umeongezeka



Vijana wananyimwa mikopo hela zinanunua mandege mabovu tu



Uchumi umeporomoka hali ni mbaya kila mahali


Mizizi ya udikteta nchini


Ukandamizaji wa haki za binadamu

Wanaopinga serikali wanapotea, wanajeruhiwa, wanapigwa nchi ipo gizani hakuna hatua iliyochukuliwa

Serikali haina uwazi ni mwendo wa kukopa kwa siri kama walivyokopa dola milioni 500 kwa riba ya dola milioni 900


Upendeleo na matabaka


Kwa haya nguvu ya umma inakuja soon

Lazima utawala huu utaondoka madarakani tu


Mjiandae kwa nguvu ya umma ambayo haijawah tokea
[HASHTAG]#Firechat[/HASHTAG]
 
Mtajua kwakua wegi wanaopinga nakelele ni mafisadi wahuni wauza Unga wanao penda faida kubwa Bila kutoa kodi kwahio hizi nizama za magufuli hamuoni njia zakuuza mada ufsadi raisiwetu anavichwa vigi hakuna upifishaji madawa hakunatena
mnatia huruma vijana wa Lumumba always maneno hayo katika kila issue [HASHTAG]#hopeless[/HASHTAG]
 
Umeandika usichokijua! Hao “watu” ni akina nani? Sera kandamizi ni zipi (fafanua ukiweka mifano halisi, sio kuandika tu).

Viwanda vinakuja, Raisi ndio kwanza anamaliza mwaka wa Pili madarakani. Hakuna miujiza ya kuamka na viwanda kwa siku moja. Hata vilivyokuwepo havikufa kwa siku moja.

Serikali inaendelea na mchakato wa kuajiri, na usikimbilie kulaumu serikali haiajiri, angalia opportunities nyingine kwanza. Hata mataifa makongwe yaliyopiga hatua kiuchumi kama Marekani na Ujerumani ajira katika sekta za umma ni mtihani mkubwa. Pia jaribu kutofautisha mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya sarafu. Ingekuwa vizuri zaidi kama ungekuja na data kamili juu ya uo mfumuko wa bei. Vinginevyo unahutubia chuki tu.

Taifa lina sera zake ndio. Ni ngumu kusema kuna sera za chuki kama mfumo wa sera unaeleweka na unafanya kazi. Sera za nchi usizichanganye ma masuala binafsi au masuala ya kitaasisi, ambayo kwa namna nyingine yanazo sera zao.

kimsboy tuletee takwimu za hali halisi kabla na baada ya October 2015 katika Nyanja za kiuchumi Tanzania. Kusema tu nchi imefilisika hakutoshi, suala hili linaenda kwa takwimu. Kama wewe umefilisika ni wewe, sio nchi.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano (T) inakupa uhuru wa kuongea/kutoa maoni (freedom of speech). Hata hivyo uhuru huu sio absolute, lazima utii utaratibu uliopo na utimize wajibu wako kwanza. Pia Freedom of speech isiwe kigezo cha kuvunja sheria kwa kuongea yaliyokatazwa na sherial.

Huyu unaemzungumzia (raisi) hana chuki na upinzani. Kila siku amekuwa akisisitiza Tanzania yenye maendeleo pasipo na ubaguzi wa kisiasa (chama) au dini. Tokea kwenye kampeni zake za kusaka uraisi amekuwa akihubiri siasa zisizo na chuki wala ubaguzi wa vyama vya kisiasa.

Hili la kuongezeka kwa umaskini rejea nilivyosema hapo juu, njoo na takwimu. Hata hilo la kuporomoka kwa uchumi linahitaji takwimu ili kuipa nguvu hoja yako. Watu mlizoea kupiga dili, sasa mirija imeziba mnalialia tu vijiweni.

Fafanua hilo la vijana kunyimwa mikopo. Ni vijana wapi? Ni mikopo ipi?

Upendeleo upi umeuoan katika awamu hii? Naomba mifano halisi tafadhali.

Pia weka hapa mifano halisi ya ukandamizaji wa haki za binadamu, na hiyo mizizi ya udikteta nchini uiainishe hapa.

Mleta mada kwa hili umekurupuka. Unaweza ukawa na hoja nzuri lakini kwa namba ulivyowasilisha unaonekana ni mkosoaji tu usiye na hoja. unaonekana ni mpenda chuki na ni mchochezi. Vinginevyo pambana tu na hali yako, tasnia ya uandishi waachie waandishi.
 
Kula rambirambi
Polisi kutumika ki chama
Kupendelea kijana wake bashite
Hatuhitaji dereva wa lori tunahitaji a president anaeheshimu kwanza katiba ya nnchi kabla ya yoote na kama ikulu anateseka atoke akatibie maumivu chato ...
Magufuli acha matusi ukiwa kwenye podium tumechoshwa na kauli hizi
Naunga hoja nguvu ya umma hii hapa jitayarishe kisaikolojia
[HASHTAG]#envoke2nd[/HASHTAG] amendment#
 
Huyo inamaana hiyo nguvu ya umma ya mafisadi na wauuza madawa ya kulevya yatamweza Kamanda Sirro ?
 
Kazi kweli kweli!! Mie nikipita kila mkoa wanalalamika hali ngumu.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...ndio tunaisoma namba? Tukichoka je tunaweza badilika na kumkataa Mwalimu anaetufundisha jinsi ya kuisoma namba?

Kwa asili ya watanzania sidhani kama huwa tunaweza kumbana RAIS Au kiongozi alie madarakani...katiba yetu haina meno yakuwabana viongozi
 
Tulimpenda wenyewe ngwangwa chaguo letu wenyewe ngwangwa wacha tuisome namba eeeeeee hahajahahhhhaaaaa
 
Mmelialia unaenda mwaka wa tatu huu. Hamchoki? Mnaempigia gitaa hasikii jaribuni kuishi kulingana na hali ilivyo ni wazi kulialia hakujasaidia na hakutasaidia.

Nguvu ya umma ianzishe mkuu uingie kwenye historia, nenda pale mnazi mmoja kajichome moto kama yule kijana wa Tunisia.
 
[emoji419][emoji419] ajira tulizi kua nazo tunafutiwa kwa mfano

1.HTT WAMEPUNGUZWA KARIBIA MA FSE WOTE IKIWA NI PAMOJA NA NOC

2. BULY WAMEPUNGUZA WATU 2000

3. KAMPUNI ZA ULINZI KWENYE MINARA ZIMEPUNGUZA 600+

4. KAMPUNI MOJA YA MAWASILIANO ILISHAPUNGUZA ZAIDI YA 160

Na hii ni ndani ya mwezi wa tisa tu

Je?...tutafika!!!
 
"Humanity is a very important quality you must have as a leader. If you are humble, if you let people realise that you are not a threat to them, those people will listen to you, those people will embrace you. "R.I.P Nelson Mandela.
Most african leaders perceive humanity as a threat because most of them do not understand the value of democracy n good governance.....!
 
viwanda havijengwi kwa ukubwa wa sauti au kwa propaganda mufilisi za kisiasa .
 
Subirini hilo mnalolitaka.Mleta mada mada anadhani kujenga kiwanda ni sawa na kujenga Banda la bhasi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…