Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Sio kwa jamii forum....wala wasup labda fb....
 
Mkuu hili jambo ni kweli kbc hata mm situmii jina la ukoo kbc. Kuna tenda fulani tulikuwa tunaifukuzia mahali ikatubidi tutumie majina mawili moja tukaweka la ukoo lingine la kawaida matokeo yake lile la ukoo likakatwa likapita hili la kawaida kwahiyo sishangai sana ndo utawala huu ulivyo wakuu
 
Zamani nilikuwa maongezini na rafiki wanatoka kanda fulani ambao walidhani na mimi natoka huko pia; maongezi yalikuwa hivi:
"Kwanza sisi lazima tushike nafasi zote muhimu kama za Chief of Finance nk. kwanye mashirika ya umma, halafu ukiwa hapo huwezi kufa masikini, utakuwa mjinga"
Enzi hizo kweli hawa jamaa walishika nafasi nyeti kwenye mashirika hayo na matokeo yake mengi yalifilisika. Hata ubinafsishaji wa mashirika ya umma usingekuwa lazima kama udhaifu huu usingevumiliwa.
 
.hili jambo liko wazi wachaga wanachukiwa na utawala huu tena bila kificho,popote palipokuwa na mchaga aliondolewa kwa sababu hizo,mfano Tanesco,muhimbili(ingawa mpare), mmbando katibu mkuu afya,na kuwaweka ndani kina kitilya na wengine wengi sana, legacy atakayoacha akiondoka ndo hyo ya ukabila.alaaniwe akutwe na umauti
 

Soma Dada acha ujinga
 
MTOA POST UNAMAANISHA KUWA TENDA WANAPEWA WATU WA KANDA YA ZIWA HASA WASUKUMA???!!!KAMA NI KWELI HII HALI SIO YA KUFUMBIA MACHO
Watu wambeya, mbona yule anajenga uwanja wa chato ni mgogo tena pure.
 

Hilo ni ni kweli mkuu wachaga sasahii hawatumii tena la ukoo maana hata ukiomba kazi hupati
 
Mkuu nashukuru umenielewa. Nashangaa wanaopinga wakati mimi nimeleta humu mjadala niliosikia na watu wametoa ushahidi wa kile walichojadili ila siwezi kuweka humu jamvini kwa kulinda usalama wao na wa kazi zao.
 
Kaburu mweusi ni mbaguzi wa hali ya juu na hii siyo siri. Ni mtu hatari sana huyu na janga kubwa sana la Taifa.
 
mathabane HAKIKA MKUU, HLI KABILA LILIZOEA KUNYANYASA WENGNE, HALAFU TULIPOKUWA TUNALAUMU WALIJBU KWA KEJELI ETI WASOMI WENG WANATOKA KABILA LAO, WAKAT HATA KWENYE KAZ ILIKUWA MKIOMBA 10 HATA KAMA WA KABILA LAO ALIKUWA MMOJA WANAMPA HUYOHUYO.
 
Mkuu nakuheshimu lakini kwa ishu ya wachaga wewe ni mpumbavu tena medula yako haipo sawa, You are idiot like other idiots

Nani asiyejua wachaga wamefanya kwa kubebana, Mimi nimeishi mikoa mingi wachaga wamefanya ukabila muda mrefu, Ni muda wa kuharibu empire

Hapa naunga mkono hoja hata Mkwawa alipunguzwa nguvu na Wajerumani alikuwa katili sana kwa makabila mengine kwenye kupora na kupambana

Kuendelea kutetea Wachaga wanaonewa wewe ni mpuuzi kwahiyo walizoea kupewa tenda kisa kuna watu wao juu, Mamlaka itafanyia kazi

Hii ishu ya kubadili majina yao nakupa one month utaleta hapa uzi bora umetoa the Secrety behind
 

Chief ni maneno ya vijiweni kama unavyosema, mbona mm Temba nafanya kazi bila changamoto za kupika!
 
Huu utawala unajitahidi kusawazisha mabonde mliotengeneza huko nyuma,
 
Mkuu naapa kwa jina la Mungu kuwa huu mjadala nimekutana nao na niliyoyaandika ni baadhi tu ya niliyoyasikia.Nimesikia mengi sana!
Haya mambo yalikuwepo haswa kipindi cha Nyerere....
Sasa hivi chapa kazi tu, wanaogopa bure tu na kudanganyana!
Mbona wengine huku mambo ni mazuri haswa!
 
Asante sana!
Mimi pia nilimshtukia kuwa ni uwongo tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…