Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nakushauri ujiue au unye boga kabisa maana Magufuli alishasema haihitaji kupendwa na mtu zaidi ya mke wake....
Chuki humuumiza anayechukia.....nakushauri uanze mapema clinic ya msongo wa mawazo maana utaugua sana kwaajili ya kujibebesha mizigo ya chuki....
Pole sana....
 
Nimeona ID yako, mbona haiendani na Comment yako.
 
Marry, binadamu ndivyo tulivyo, huwezi kupendwa na wote, hata mimi nilipokuwa mtangazaji wa kipindi cha Kiti Moto, kuna watu walikuwa wanawahi nyumbani kukiangalia ili wasikimisi, na kuna watu, nikitokea tuu, wanazima TV au kuhamisha stesheni!. Ni kama ganda la mua la jana, wewe umelitupa, mwenzako ni neema. Kuna waziri fulani wa Mkapa, mtu wa Musoma, nikamsikia mdada mmoja akisema, hivi mtu unawezaje kumpenda jitu kama lile?!, amimi usiamini, nilipokea taarifa jinsi waziri huyo anavyogombewa na warembo!, hivyo usichokitaka wewe, wenzako wakitafuta!.

Kumchukia mtu sio kosa, ila ni dhambi kwa Mungu!. Amri Kuu ni upendo, hata adui mpende!. Chuki ikizidi, inageuka ugonjwa, hivyo angalia usiugue!.

Kuna wengine wanachukia kwa chuki tuu for no apparent reasons na hakuna kosa lolote!, na wengine ni just chemistry tuu haziendi, hivyo hakuna kosa kumchukia yoyote, ila kosa ni kumjengea chuki ili achukiwe na wengine, huu ni uchochezi.

Vivyo hivyo wewe unavyomchukia, vivyo hivyo ndivyo wengine wanavyompenda hadi kuomba atawale milele!.

Wakati wa JK, alibezwa sana, na kuna watu walifunga na kuomba Mungu atuletee rais dikiteta ili ainyooshe nchi, na kweli Mungu kasikia sala yetu, akatupatia Magufuli.

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

P.
 
Nchi inaongozwa na washamba na malimbukeni..... Mungu kuchukua roho ya huyu Shetani mkuu.
 

Mimi sioni kama upinzani una shida ya uongozi kwa siasa za Tanzania za sasa hata kiongozi wa upinzani akiwa ni Obama hali itakuwa ni hivi hivi
Huyu mbowe mnasema amefanya nn? Au angefanya nn? Let's say ww ndio ungekuwa kiongozi wa chadema ungefanya nn?
 
Kama humpendi jipige risasi, huyo nda raisi wetu mpendwa mungu alietuchagulia. Kwa uwezo wamungu atakuepo hadi 2029
 
Nchi inaongozwa vibaya sn kwa sasa kusifia lazima ujitoe ufahamu kwanza
 
Mimi siongelei mambo ya magazetini naongea watu ninaoishi nao kitaa wale walikua wakigawa pesa za ngada kama sadakalawe kitaani tunawajua saivi ndio wanachukia Magufuli kupita maelezo huko mitaani na wamekua makamanda wakakamavu wa chadomo ghafla Hehehe yaani ukiwaona unabakia kucheka namna wanavyomchukia makonda na Magufuli
 
Sijui ata rinipisi lini!? unizidi mie.
 
Heshima yako Mkuu.
 
Hadi siiku moja watakapouangalia ukweli huu bado ndugu zetu watakuwa wanaendeleza siasa za 2006...mwisho wa siku kweli yanaweza kuja kutokea ya Zimbabwe, Afrika Kusini au Ethiopita.. na wao watashangilia bila kuzingatia kuwa bado walionufaika ni vyama tawala vya nchi hizo. Upinzani bado uko nje ya madaraka.
 
Kuchukiwa ni jambo la kawaida, hata Yesu alichukiwa, alipigwa, aliuawa na wanadamu - sasa rais JPM vyovyote vile lzm baadhi ya watanzania wamchukie sbb amewashika pabaya:-
1. Fikiri jinsi BANDARI ilivyokuwa chochote ya kuiba kodi za serikali,

2. Fikiri jinsi watumishi wa umma walivyokuwa wanaenda kupumzika London weekend,

3. Fikiri jinsi wenye fedha walivyopoka viwanja, viwanda na ardhi za wanyonge,

4. Fikiri jinsi mikataba ya uchimbaji madini ilivyokuwa mibovu, nk nk nk

Sasa:-
Kama wewe ulikuwa unanufaika kwa namna yoyote ile na fedha zitokanazo na wizi huu lzm umulaumu JPM.
 
Uko sahihi huyu ndiye Lucifer haswa tuliyeingia chooni kuchagua 2015. Ni Mungu anayetakiwa ashughulikie shetani kwa kuwa huyu siyo binadamu kama sisis
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…