Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
 
Mimi binafsi ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Lahaulaaa lakwata.....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
Kuna mtu sio civilized,hana vision, amekosa foresight, hana dira,hana plan na hata plan anzozitekeleza hakuziwekea mikakati ya kuzifanikisha kabla.

Kwa kifupi hatoshi.

Kazi tunayo.
Mimi kinachonishangaza, hivi inakuwaje MIJITU YENYE AKILI NDOGO kama hiyo inakwea mpaka inapata CHUO Kikubwa kama hicho ?
 
Kuna mtu sio civilized,hana vision, amekosa foresight, hana dira,hana plan na hata plan anzozitekeleza hakuziwekea mikakati ya kuzifanikisha kabla.

Kwa kifupi hatoshi.

Kazi tunayo.
Ni kweli kabisa Mbowe hana maono na Chadema inazidi kuporomoka kila iitwapo leo!
 
Kwa hivyo tukusaidiaje kamanda?!.
Mpaka ngosha aondoke 2025 lazma bavicha wote watakuwa wamedata!
 
Bwana akukumbuke,akuonyeshe njia ya kutenda yakupasayo. Hata Saul alimuona Daudi hatoshi kabisa. Lakini hakuwa na jinsi.
 
Nitatoa million 50 kila kijiji,Million 50 mtazipata katika miradi ya maendeleo
Nitatoa ajira kwa vijana namalizia kutoa wafanyakazi hewa! Nafanya uhakiki wa watumishi

Vijana mjiajiri wafanyakaz waliopo wanatosha walimu wa sekondari mtahamishiwa primary

Mimi rais wa Watanzania wote awe CHadema ,CUF ,Mh spika washugulikie na wakitoka nje ya bunge mimi nitawashughulikia

Kama kuna MTU kajenga katika eneo la serikali bomoa,Hawa wapiga kura wangu wasibomolewe mpaka tathmin na fidia itakapotolewa,
 
this is unprecedented in our country
jk had controversial coastal stupid phrases but not that "divisive"
 
Hivi huyu mkuu wa kaya amekosa kazi? Sasa kazi gani hizi!

Mara utasikia:

Mkuu wa kaya aruhusu fiesta hadi saa 11 asubuhi
Mkuu wa kaya atoa kibali cha kujenga msikiti
Mkuu wa kaya ameenda sijui kufungulia mbuzi wapi sijui
Mara utasikia mkuu wa kaya amemwachi Ney wa Mitego
Yaani ni full komedy
Utasikia tena
Mkuu wa kaya ameenda mtaa wa majengo kufungua katawi ka Crdb
Haaaahaaa aaaa
Mkuu wa kaya sijui ametoa hela ya soda kwa wana kwaya ya kigango cha Mtakatifu ABC
Hahahaaaaa
Hebu ongezeeeni
Tuwe serious. Muda unakimbia mjue. Na kauli mbiu ya viwanja wataikana muda si mrefu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…