Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ya mwisho ulipakwa mafuta lin???Ndo mashabiki wa Chadomo
Nakushauri ujiue au unye boga kabisa maana Magufuli alishasema haihitaji kupendwa na mtu zaidi ya mke wake....
Chuki humuumiza anayechukia.....nakushauri uanze mapema clinic ya msongo wa mawazo maana utaugua sana kwaajili ya kujibebesha mizigo ya chuki....
Pole sana....
Just Praise MeKuna mtu sio civilized,hana vision, amekosa foresight, hana dira,hana plan na hata plan anzozitekeleza hakuziwekea mikakati ya kuzifanikisha kabla.
Kazi tunayo.
Mimi kinachonishangaza, hivi inakuwaje MIJITU YENYE AKILI NDOGO kama hiyo inakwea mpaka inapata CHUO Kikubwa kama hicho ?Kuna mtu sio civilized,hana vision, amekosa foresight, hana dira,hana plan na hata plan anzozitekeleza hakuziwekea mikakati ya kuzifanikisha kabla.
Kwa kifupi hatoshi.
Kazi tunayo.
Ni kweli kabisa Mbowe hana maono na Chadema inazidi kuporomoka kila iitwapo leo!Kuna mtu sio civilized,hana vision, amekosa foresight, hana dira,hana plan na hata plan anzozitekeleza hakuziwekea mikakati ya kuzifanikisha kabla.
Kwa kifupi hatoshi.
Kazi tunayo.