Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Rushwa zimekata, Wauza unga mmetiwa kapuni, siasa za majitaka na uongo majukwaan zimekoma, semina na warsha feki holaaaa, wazee wa 10% kibano, waliokuwa na pesa chafu sasa kama mashetani, bandarin mizigo ya bure piniiii, kodi haikwepeki ni mwendo wa UHALISI TUUU mnaobishana na zamma hizi lazima mpate taaaaabu sana.
 
Magufuli a.k.a Jiwe alishapoteza dira kitambo sana anachofanya sasa ni kulazimisha kukubalika na ni wajinga pekee wanaomkubali huyu Jamaa mi simpendi na sitokuja kumpenda abadani
 
Huu Uzi utabomoa Lumumba washaambia wawache polisi wapinzani wajibiwe kwa Hoja,sio kwa bunduki,Bomu,makofi, mabuti,virungu.
 
mkuu uwe unafikiri basi hata kidogo, sawa china hamna demokrasia ila wanajua wanacho fanya sio kama sisi

kwamba china utakuta upotevu wa bill. kama za rugumi alafu muhusika anaachwa/anaondolewa eti kwa kulewa kazini.

kwamba china 1.5 inatumika isivyo eleweka na bado wahusika wanadunda

acha kutoa mifano isiyo endana
 
Haya
 
Ngoja tuone kama kweli utabiri wa Nabii Bushiri aliotabiri 2015 ipo YouTube japo gwajima aliupinga kama utakuwa kweli au si kweli. Alitabiri mshindi ni PJM,tetemeko La ardhi litaipiga Tza,anga La Tza limejaa damu,hali ya uchumi itakuwa mbaya mbaya kila mwaka,tuiombee Tanzania ".Japo Mzee wa kuamsha dude alimpinga kwanini unatabiri mabaya juu ya nchi yetu? ikapelekea kutupiana maneno.
 
Avatar yako tu inaonesha we sio raia wa nchi hii...
 
Duh hii kali!
 
I concur.
 
Unataka nini hueleweki umeanza viruri lakini nahisi hutaki maendeleo wewe nchi kuendelea sio ajira kwa watu pekee viwanda reli ndege umeme wa uhakika subiri miaka 10 ijayo magufuli anaonyesha kwa vitendo nini maana ya uongozi
 
Soma ripot ya CAG,matajiri wamehamisha biashara zao nje wanapiga Pesa kama kawa sababu wana exposure,nenda Zambia na Congo truck za bongo zimejaa kule wamebadili usajili tu,bandarini wamebana wanakosa kodi lkn mizigo imejaa mijini magendo yameongezeka wwe endelea kuunga mkono juhudi hewa za marudio ya chaguzi za kupoteza kodi zetu za kubana matumizi kuifurahisha ccm.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…