Wee ni nyumbu tu...namtaka mfuga nyumbu
Wewe ni pumbu tu and an idiot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee ni nyumbu tu...namtaka mfuga nyumbu
sijaenda uko kamweUlifika China sehemu gani?
That's the end of your thinking capacity.......beki tatu wa Lumumba!Wewe ni pumbu tu and an idiot
Vipi lumumba fc leo mko offBavicha wanapiga kazi sana hadi jumapili!
That's the end of your thinking capacity.......beki tatu wa Lumumba!
mkuu uwe unafikiri basi hata kidogo, sawa china hamna demokrasia ila wanajua wanacho fanya sio kama sisikuongoza watu wasiojua wanataka nini ni kazi kubwa.Anayetaka demokrasia na uhuru aende china ambako hadi askofu wa kanisa anateuliwa na serikali.No democracy but there is development.JPM PIGA KAZI SHETANI NA WENZAKE WANAPATA TABU SANA,GOD IS WITH YOU FOREVER.
HayaRushwa zimekata, Wauza unga mmetiwa kapuni, siasa za majitaka na uongo majukwaan zimekoma, semina na warsha feki holaaaa, wazee wa 10% kibano, waliokuwa na pesa chafu sasa kama mashetani, bandarin mizigo ya bure piniiii, kodi haikwepeki ni mwendo wa UHALISI TUUU mnaobishana na zamma hizi lazima mpate taaaaabu sana.
Avatar yako tu inaonesha we sio raia wa nchi hii...kuongoza watu wasiojua wanataka nini ni kazi kubwa.Anayetaka demokrasia na uhuru aende china ambako hadi askofu wa kanisa anateuliwa na serikali.No democracy but there is development.JPM PIGA KAZI SHETANI NA WENZAKE WANAPATA TABU SANA,GOD IS WITH YOU FOREVER.
Duh hii kali!Mheshimiwa Rais,
Pole kwa Majukumu!.....natumai ujumbe wangu huu utakufikia hapo "Jumba Jeupe" japo unaweza kuonekana ni ujumbe usio na maana na wa hovyo but kikubwa ufike sehemu husika.
Mh. RAIS, Nimejaribu kutafakari mambo mengi yahusuyo hatma ya taifa letu tangu ulipoingia madarakani, naona umeshapoteza dira na lengo lako uliloingia nalo madarakani.....
Mh. Rais, bila kupepesa macho wala mikono nathubutu kusema ya kwamba wewe ndiye Rais unayeweka historia ya "Rais kimeo kuwahi kutokea tangu tupate Uhuru" huna dira, huna lengo thabiti, huna maono, huna Utu, nakiri kuwa cheo cha urais kimepata m'bakaji (Nisamehe kwa lugha yangu kali).
Mh. Rais, wewe ndiye Kiongozi pekee uliyeleta balaa, malalamiko, shida, manyanyaso na mgawanyiko mkubwa katika taifa (umekuwa adui mkubwa wa demokrasia na mshikamano kitaifa, umekuwa Nepotist wa kiwango cha hali ya juu, Ukanda, Ukabila na hata Uchama! Inasikitisha!
Mh. Rais, tangu uingie madarakani, ajira hamna (vijana waliomaliza vyuo kuanzia ulipoingia madarakani yaani 2015+ wanakula msoto mtaani).....Hali ngumu ya maisha, nani aliyesalimika katika hili? Wewe ndiye rais pekee ambaye chini ya uongozi wake, upinzani unaonekana ni uadui, manyanyaso ya polisi na vyombo vya usalama kwa raia hakika umeweka pamba masikioni!!
Mh. Rais, huu ni mwaka wa tatu tangu uingie madarakani (soon utaingia wa nne), ila najua unajidanganya kwa kujivuni Elimu Bure (ilhali hakuna implementation na strong strategies), lakini pia utajivunia MaBombardier, SRG, Stiglers Gorge na Uwanja wa ndege wa Chato!...ila nakuhakikishia utaondoka madarakani ukiwa na deni kubwa kutoka kwenye mioyo ya Watanzania wengi walioteseka na uongozi wako dharimu.
Nani anayetaka Stiglers Gorge na Mandege wakati hapewi nafasi yake kikatiba kama mwananchi mwenye imani, itikadi, na maono huru? Hakika mtu uyo hayupo, na kama yupo hawezi kuwa si punguani wa akili!!
Mh. Rais, nikukumbushe tu ya kwamba hao wakuhadaao kwa kisingizio cha kukuunga mkono, ndio haohao watakao pelekea anguko lako....
Nimalizie kwa kukupa ujumbe huu "THE NUMBER OF FOLLOWERS YOU HAVE, DOES NOT MAKE YOU A BETTER PERSON THAN ANYONE ELSE,..REMEMBER, ADOLF HITLER HAD MILLIONS, JESUS HAD ONLY TWELVE".......
__nakungoja mlangoni____
I concur.kuongoza watu wasiojua wanataka nini ni kazi kubwa.Anayetaka demokrasia na uhuru aende china ambako hadi askofu wa kanisa anateuliwa na serikali.No democracy but there is development.JPM PIGA KAZI SHETANI NA WENZAKE WANAPATA TABU SANA,GOD IS WITH YOU FOREVER.
Mtetezi wa wanyonge anapowanyonga wanyongeUjumbe wa maana sana kwa anayejiita mtetezi wa wanyonge!!!!
Soma ripot ya CAG,matajiri wamehamisha biashara zao nje wanapiga Pesa kama kawa sababu wana exposure,nenda Zambia na Congo truck za bongo zimejaa kule wamebadili usajili tu,bandarini wamebana wanakosa kodi lkn mizigo imejaa mijini magendo yameongezeka wwe endelea kuunga mkono juhudi hewa za marudio ya chaguzi za kupoteza kodi zetu za kubana matumizi kuifurahisha ccm.Rushwa zimekata, Wauza unga mmetiwa kapuni, siasa za majitaka na uongo majukwaan zimekoma, semina na warsha feki holaaaa, wazee wa 10% kibano, waliokuwa na pesa chafu sasa kama mashetani, bandarin mizigo ya bure piniiii, kodi haikwepeki ni mwendo wa UHALISI TUUU mnaobishana na zamma hizi lazima mpate taaaaabu sana.
Hali tete uleta chuki,uleta kupungua Kwa umaarufuHata mm sina imani na Jpm saiv.....hali umekuwa tete hatari .....ila hatufi hata akaze vp