[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sijaenda uko kamwe
Nani kakwambia unga umebanwa? Watu wanakula unga kitaani kama kawaida.Rushwa zimekata, Wauza unga mmetiwa kapuni, siasa za majitaka na uongo majukwaan zimekoma, semina na warsha feki holaaaa, wazee wa 10% kibano, waliokuwa na pesa chafu sasa kama mashetani, bandarin mizigo ya bure piniiii, kodi haikwepeki ni mwendo wa UHALISI TUUU mnaobishana na zamma hizi lazima mpate taaaaabu sana.
suala la lugumi hadi sasa waziri Lugola analishugulikia,1.5 rais kaliongelea jinsi watu wanavyopotosha au uko nje ya dunia,halafu usinipangie mifano ya kutoa.Bora kusiwe na demokrasia kuliko kuwa na wapinga maendeleo kwa mgongo wa demokrasia.mkuu uwe unafikiri basi hata kidogo, sawa china hamna demokrasia ila wanajua wanacho fanya sio kama sisi
kwamba china utakuta upotevu wa bill. kama za rugumi alafu muhusika anaachwa/anaondolewa eti kwa kulewa kazini.
kwamba china 1.5 inatumika isivyo eleweka na bado wahusika wanadunda
acha kutoa mifano isiyo endana
Baada ya mambo yote ayo kufanyika, mbona bado unaendelea kukaa kwa shemeji? Utahama lini?Rushwa zimekata, Wauza unga mmetiwa kapuni, siasa za majitaka na uongo majukwaan zimekoma, semina na warsha feki holaaaa, wazee wa 10% kibano, waliokuwa na pesa chafu sasa kama mashetani, bandarin mizigo ya bure piniiii, kodi haikwepeki ni mwendo wa UHALISI TUUU mnaobishana na zamma hizi lazima mpate taaaaabu sana.
Heri yako unatumia masaa matatu,vipi wa malori wanaokaa siku Mbili kutaka kuvuka BODA ya Tunduma Zambia yenye chain hadi kilometres 30.Maendeleo sio dar tu wakumbuke na sehemu zingine, wapanue barabara ileNani kasema tunataka stiglers gorge wakati natumia masaa 3 kutoka Masaki kwenda Uwanja wa Ndege? Aah
Oohoo poor girl of Afrika haujawahi kuona watanzania wenye muonekano wa kiindi,kizungu au kichina?kuna tofauti kubwa kati ya mwafrika/mtanzania na mtu mweusi,ndio maana australia kuna watu weusi(Aborigines) kuliko wewe pia India kuna wahindi weusi lakini wote hao sio watanzania au waafrika.Avatar yako tu inaonesha we sio raia wa nchi hii...
Ana maana ya mlango wa Exit?!nimepapenda zaidi hapa.....
__nakungoja mlangoni____
huu mkwara wako si wa kitoto mkuu!
mkuu unaishi karne ya ngapi?hujui kuwa kuna watu wako marekani wanaijua tz kuliko mtanzania? labda nikuulize baada ya usa ni nchi gani yenye uchumi unaokua sana duniani? mimi sikurupuki kuandika.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kumbe umetuandikia upupu wako hapo juu uliosimuliwa tu na Shemeji yako!
maendeleo yapi unayo ongelea ya vitu ama watu.suala la lugumi hadi sasa waziri Lugola analishugulikia,1.5 rais kaliongelea jinsi watu wanavyopotosha au uko nje ya dunia,halafu usinipangie mifano ya kutoa.Bora kusiwe na demokrasia kuliko kuwa na wapinga maendeleo kwa mgongo wa demokrasia.
mkuu habari za GeitaZero brain at his best...Mwache JPM apige kazi kama vipi hama nchi