Abshallom
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 223
- 413
Unaposema hakuna vipaumbele unamaanisha nini? Huwez kufanya jambo bila vipaumbele. Labda ungesema Rais anatilia mkazo vipaumbele fulani na kuacha vingine. Na kwamba ana follower wengi mi siamini. Maana am sure Magu ana followers wachache na majority wanamchukia sana na hilo ye mwenyewe analijua.
Tatizo ni kuwa tulizoea utawala wa mfumo tofauti na wa sasa. Tukubaliane tu na hali, miaka 10 siyo mingi. Na ndipo tutaprove kama ni kweli tulikuwa static or we were moving.
Tatizo ni kuwa tulizoea utawala wa mfumo tofauti na wa sasa. Tukubaliane tu na hali, miaka 10 siyo mingi. Na ndipo tutaprove kama ni kweli tulikuwa static or we were moving.