Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Mkuu wanaongoza kwa ujinga hapa Tz ni hao PhD holder na maprof.Na cha ajabu zaidi hiyo milioni 7, eti hutakiwi kuchangiwa na mtu yoyote!!!
Na hoja hiyo anaitoa kila,... za, Kibajaj mie mjengoni kule Dodoma, halafu inaungwa mkono na wanasheria nguli wenye shahada za PhD, akiwemo Waziri wetu wa Sheria na Katiba na yule mdada anayekalia kigoda pale kwenye lile jumba la kutunga sheria kule Dom.
Kweli hao wasomi wetu wakubwa kabisa wameamua kuziweka 'rehani' shahada zao za PhD pale mtaani Lumumba...
Kikwete Rudi Maana hali mbayaPaul Alex
Tatizo nchi zetu za kiafrika tushazowea misaada kujitegemea wenyewe hatuwezi ndio maana mzee wa push up kaja na usanii wa kutumbua majipu, kuzuia sukari, kuongeza kodi, kufunga midomo wapinzani na mengine bado yanakuja zaidi. Hapa ndio kwanza ameanza tu lakini ukweli nchi ipo taabani haina kitu. Nchi imekuwa kama mgonjwa wa sukari inadhoofika kiafya tunasubiri mauti yake tu.
Na anataka kuendesha nchi kwa kile kitu kinaitwa one man show......Hakukuwa na Lazima kukataa safari za nje, hata zile zinazolipiwa na wafadhili au zile zenyekuhitaji taaluma fulani.
Hakukuwa na lazima ya kuruhusu polisi waue majambazi hadharani.
Hakukuwa na lazima ya wewe kushikilia mhimili wa bunge.
Hakukuwa na lazima ya wewe kutoa katazo ya sukari kutoka nje.
Nini kilifanya uwatusi wanafunzi wa udom hata baada ya kuwatesa.
Nini kinafanya uongee hovyohovyo bila kusoma hotuba.
Mkuu, unakataje kodi direct kutoka kwenye account ya kampuni?
Mkuu haueleweki, tusamehe mkuu. Tuachie nchi yetu.
Naona mzee anavyozidi kukaribia kuchukua kiti cha mwenyekiti mafisadi matumbo yanazidi kuwakata..mnakosa usingiziJmc06, Magufuli akishinda 2020 najisaidia mafungu mafungu kutoka Mwanza hadi Dar.
Wewe ongelea hii mitano kama atatoboa!
Let us be realistic.Naona mzee anavyozidi kukaribia kuchukua kiti cha mwenyekiti mafisadi matumbo yanazidi kuwakata..mnakosa usingizi
Jmc06, Magufuli akishinda 2020 najisaidia mafungu mafungu kutoka Mwanza hadi Dar.
Wewe ongelea hii mitano kama atatoboa!
Subutu eti 9 yrs kwani unadhani kila mtu kiziwi kwa ccm huu ndo mwisho wa ccm especially walivompa magufuli nnchi he is done in the next fourNyie kaeni kulalamika humu JF Massa 24 badala kuchangamkia fulsa mnazoziona,mkijakushtuka mmeachwa.,serikali ni hii hii miaka 9 na nusu ijayo,kama hamuamini ENDELEENI kupiga debe humu,mkijakujifunika shuka kumekucha,always remember Time is Money and we always live once.
Jmc06, Magufuli akishinda 2020 najisaidia mafungu mafungu kutoka Mwanza hadi Dar.
Wewe ongelea hii mitano kama atatoboa!
Paul Alex
Tatizo nchi zetu za kiafrika tushazowea misaada kujitegemea wenyewe hatuwezi ndio maana mzee wa push up kaja na usanii wa kutumbua majipu, kuzuia sukari, kuongeza kodi, kufunga midomo wapinzani na mengine bado yanakuja zaidi. Hapa ndio kwanza ameanza tu lakini ukweli nchi ipo taabani haina kitu. Nchi imekuwa kama mgonjwa wa sukari inadhoofika kiafya tunasubiri mauti yake tu.
Hivi magufuli anajua kitaa watu hawamtaki am supa serious kitaa kwetu neno maguli kilaa baada ya dakika kadhaaa he is gaining not only haters but anakua society reject au anajipanga kuhamia rwanda bcoz hata apae hewani hashindi next 5Magufuli baba yangu mzazi alimpigia kura Edward Lowassa kama ilivyo mimi, na alinipa sana moyo kwenye kusimamia kura.
Ila alikuunga mkono ulipoanza mbwembwe zako, alifurahi sana siku za mwanzo alipokuona kwenye taarifa za habari ukitumbua.
Tulitofautiana sana kwasababu mimi ni mtu mwenye misimamo isiyohama.
Magufuli leo mzee hakuelewi. Hajui unafanya nini tena.
Anasema mambo ambayo sitaki kusema.
Magufuli, Mzee wangu ana tatizo la presha.
Na umri wake kidogo umesogea.
Mkuu nampenda baba yangu, naomba utuachie nchi yetu!
Kumbe wewe ndio unaanza kutafuta fursa Leo? Wenzako tayari tuna maisha yetu tena matamu kama mcharo! Ndio maana mnajitoa ufahamu kukumbatia hats ujinga.Nyie kaeni kulalamika humu JF Massa 24 badala kuchangamkia fulsa mnazoziona,mkijakushtuka mmeachwa.,serikali ni hii hii miaka 9 na nusu ijayo,kama hamuamini ENDELEENI kupiga debe humu,mkijakujifunika shuka kumekucha,always remember Time is Money and we always live once.
Unaelewa maana ya "ushindi wa kishindo"?Hivi magufuli anajua kitaa watu hawamtaki am supa serious kitaa kwetu neno maguli kilaa baada ya dakika kadhaaa he is gaining not only haters but anakua society reject au anajipanga kuhamia rwanda bcoz hata apae hewani hashindi next 5