Ni watanzania wachache sana wanajua kuwa kama Taifa tulikwenda mrama siku Lowasa alipojiuzulu. Siyo kwamba Lowasa alistahili kuwa Rais, hapana. Ila kitendo cha kujiuzulu kwake kilisababisha ufa mkubwa kwenye mtandao wao kitu ambacho kiliwafanya watengeneze mtandao doto na kuwapa tahadhari kuliko awali.. Tahadhari iliyojengwa hapa ndio iliyosababisha kupewa Jiwe nafasi kwa hofu ya kupoteza kila kitu.Things went astray since the disintegration of mtandao of boys to men when Lowassa was forced to resign. Union of people with hidden agenda could not survive . They parted and here we are. Whom should we blame. Probably we are returning on the right track. Doubtful?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaeni kikao hukohuko kwenu muanze kujitafakari.Manunuzi yasiyofaa,sawa.Sasa awamu ya rais yupi ilikuwa na manunuzi yanayofaa,awamu ya pili tatu,nne au tano?
Wewe umeongea kiweledi zaidi mi nadhani tusimlaumu tu mleta mada bali atufanye kushtuka na kupata picha kuwa kadri hao waovu wanavyizidi kuharibu taifa hili vijana wengi wanafeli maisha na kufikia kukata tamaa kwa kuwa hawana kitu na hivyo wapo wengi na wanaongezeka wenye mitazamo hiyo japo hawajitokeza kwenye kibodi bado ila siku wakiongezeka huko mbele hayo aliyosema huyu kutokea haitakuwa jambo lisilowezekana tena!Kweli Mkuu jamaa anachotamani si kitu kizuri,msongo wa mawazo,masumbufu ya maisha,kutokufikia malengo binafsi,kukatishwa tamaa,kushindwa kutimiza mahitaji na hali mbaya ya kisiasa(political instability) mara nyingi hutusababisha watu wengi na hasa sisi vijana kufikia hatua ya kuwaza haya. Hatufikirii wahanga wakuu Mara chache sana huwa si sisi(maana tuna nguvu, bali)
- Wanawake
- Watoto
- Wazee
Tujitahidini kuifanya dunia iwe sehemu salama,hata kama wengine hawafanyi sisi tufanye kwa nafasi yetu!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza ukali wa maneno yenye kuacha ukakasiHakuna mtu mpumbavu Kama Magufuli
Mnaelekea wapi wewe na nani? Kwani awamu zilizopita mlikuwa mnaelekea wapi? Na mlifika?Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Teh tehHuu uzi unatembeaga tu, ila mleta uzi hajulikani alipo, sijui alishapelekwa mahali salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah... afu last post yake ni 11 march 2018. Kuna kitu hapaHuu uzi unatembeaga tu, ila mleta uzi hajulikani alipo, sijui alishapelekwa mahali salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah, unaweza kukuta zilipatikana details zake ,akapelekwa mahali salama ,
Toka hapa!Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Nitatoka hakuna namna nyingine. Nisipotoka nitakufa kwa ufukara na ama njaa ya demokrasia. Lazima nitoke.Sizani kama utatoka