mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Akili ndogo hujadili watu.
mwaka 2006 mpaka 2012 kulikuwa na mtu kama wewe akachokaKatika hali ya kawaida, kuna kauli au maneno ambayo mtu huwezi kuyatamka hadharani unless una mapungufu kichwani mapungufu yanayoweza kuashiria tatizo la afya ya akili.
Kwa mfano, kumuambia mtu vipande thelathini alivyojichotea atavitoa kupitia sehemu fulani za mwili wake(niliwahi sikia kuwa aliitoa hii kauli. Kama haipo mnikosoe).
Maneno kama haya mtu unaweza kuyatamka mbele za watu ukiwa ama ni mlevi au mko katika ugomvi huku hasira zimekupanda kupitiliza lakini sio hivi hivi.
Ukiacha kauli hii, kuna matamshi mengine ambayo ni ya kuji-contradict kiasi kwamba mtu unajiuliza hivi huyu mtu anakumbuka jana au juzi aliongea nini na leo anaongea nini.
Kwa mfano ile kauli kuwa wakati anaingia ofisini, alikuta teyari bei ya kikombe cha chai imepanda wakati si kweli bali bei ilipanda baada ya yeye kuingia ofisini na kufanya aliyoyafanya na kisha bei ya kikombe cha chai ndio ikapanda ghafla.
Kauli nyingine ambayo mpaka leo huwa naishanga ni ile ya kuwadhalilisha wanaomsaidia majukumu kuwa ni wapu...avu (hii iliniacha hoi kabisa).
Iko mifano mingi tu ambayo mtu ukiitafakari, utagundua ndugu yetu huyu sio kama hana mshipa wa noma, bali hayuko fit mentally.
I hope iko siku atafanya kituko kikubwa (kwa kauli au matendo) kuthibitisha mtazamo huu ambao kwa sasa umeanza kuwa ni mtazamo wa wengi.
Watashinda kwa asilimia 90 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],wana hoja nzito sana ngoja niendelee kusoma mapovu yaoKomaeni na hoja hizo hizo makamanda..naona mtakavyosomba kura 2020
Wakati huo huo vichaa mkawa mnapiga na kupigishwa push upsKuna aliyeahidi kumfukua marehemu na kumleta hapa bongo!
ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani
SSasa tuna wa hovyo kuliko jk, tumeruka Kojo tukaangukia vimaNyinyi ndio mliokua mkimtukana JK na kuaminisha watu kuwa JK ni rais wa hovyo kabisa kuwai kutokea katika nchi hii tena mlidai yeye anachekacheka tu hachukui hatua, ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani? Yaani hamwishi malalamiko , Fanyeni kazi , kwasasa tumepata rais anayepambana kujenga jamii inayo wajibika, Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili za kinyumbu. Kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi, Hazi itaji promo wala kiki.
Tena wewe ndio kabisa hiyo laana ya mtu mweusi unaithibitisha kila siku hapa JF.Mnapokosa cha kuandika huwa mnakuja na nyuzi za kipuuzi kabisa.
Cha muhimu ni ungwana wa maongezi au kujitoa kwa mtu kwa ajili ya taifa lake!!.
Hao wenye kujua nini wazungumze wapi mbona walipoondoka ikulu mliwashushia mzigo wa lawama!!.
Huu weusi wetu ni kama laana fulani vipi!!.
Chadema wameshajitoa kwenye chaguzi zenu.Komaeni na hoja hizo hizo makamanda..naona mtakavyosomba kura 2020
Si kawaweka yeye.Sasa kama hawa waliojaza watu na mizigo kwenye kivuko hiki kilichozama akiwaita wapumbavu atakuwa amekosea? Au nayo mtasema anawadhalilisha watendaji wake.