Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Huo msemo wengi wetu tunautafasiri ndivyo sivyo. Kwa mtazamo wangu Kujadili watu kulikosudiwa ni hali kuna hoja mezani. Na wewe unaanza kujadili personality za watu badala ya hoja husika.

Mfano: "Manager A aliweza kulibadilisha shirika fulani na kuwa la kisasa zaidi" hoja
Wewe utapoanza kumjadili Manager A kwa personality yake, mfano kwanza anasura mbaya, oooh Dini yake fulani, Malaya!! Kabila lao, mwanawe teja.. Kwa mtazamo wangu hiyo ndio kujadili mtu.

Katika muktadha huu, basi hapa hajadiliwi mtu, mtu ni sehemu tu ya hoja. I stand to be corrected


Akili ndogo hujadili watu.
 
Hii nchi bila kupata rais wa namna hii haiendi mahali, maana tushaongozwa na marais wa aina zote lkn hakuna la maana walilofanya, lkn kwa huyu kichaa kidogo anaweza kufanya kitu, tuweni wavumilivu tu bado ana miaka 7 madarakani mambo mazuri yanakuja.
 
Katika hali ya kawaida, kuna kauli au maneno ambayo mtu huwezi kuyatamka hadharani unless una mapungufu kichwani mapungufu yanayoweza kuashiria tatizo la afya ya akili.

Kwa mfano, kumuambia mtu vipande thelathini alivyojichotea atavitoa kupitia sehemu fulani za mwili wake(niliwahi sikia kuwa aliitoa hii kauli. Kama haipo mnikosoe).

Maneno kama haya mtu unaweza kuyatamka mbele za watu ukiwa ama ni mlevi au mko katika ugomvi huku hasira zimekupanda kupitiliza lakini sio hivi hivi.

Ukiacha kauli hii, kuna matamshi mengine ambayo ni ya kuji-contradict kiasi kwamba mtu unajiuliza hivi huyu mtu anakumbuka jana au juzi aliongea nini na leo anaongea nini.

Kwa mfano ile kauli kuwa wakati anaingia ofisini, alikuta teyari bei ya kikombe cha chai imepanda wakati si kweli bali bei ilipanda baada ya yeye kuingia ofisini na kufanya aliyoyafanya na kisha bei ya kikombe cha chai ndio ikapanda ghafla.

Kauli nyingine ambayo mpaka leo huwa naishanga ni ile ya kuwadhalilisha wanaomsaidia majukumu kuwa ni wapu...avu (hii iliniacha hoi kabisa).

Iko mifano mingi tu ambayo mtu ukiitafakari, utagundua ndugu yetu huyu sio kama hana mshipa wa noma, bali hayuko fit mentally.

I hope iko siku atafanya kituko kikubwa (kwa kauli au matendo) kuthibitisha mtazamo huu ambao kwa sasa umeanza kuwa ni mtazamo wa wengi.
mwaka 2006 mpaka 2012 kulikuwa na mtu kama wewe akachoka

epuka chuki mkuu, unaumia wewe tu

weka hoja na iwe makini na backup ya references au quotes, dates n.k
 
Komaeni na hoja hizo hizo makamanda..naona mtakavyosomba kura 2020
Watashinda kwa asilimia 90 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],wana hoja nzito sana ngoja niendelee kusoma mapovu yao
 
ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani


Wahenga walosema ni heri kumfadhili beberu mwisho wa siku utakula hata kwato zake....
 
Nyinyi ndio mliokua mkimtukana JK na kuaminisha watu kuwa JK ni rais wa hovyo kabisa kuwai kutokea katika nchi hii tena mlidai yeye anachekacheka tu hachukui hatua, ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani? Yaani hamwishi malalamiko , Fanyeni kazi , kwasasa tumepata rais anayepambana kujenga jamii inayo wajibika, Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili za kinyumbu. Kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi, Hazi itaji promo wala kiki.
SSasa tuna wa hovyo kuliko jk, tumeruka Kojo tukaangukia vima
 
Mnapokosa cha kuandika huwa mnakuja na nyuzi za kipuuzi kabisa.

Cha muhimu ni ungwana wa maongezi au kujitoa kwa mtu kwa ajili ya taifa lake!!.

Hao wenye kujua nini wazungumze wapi mbona walipoondoka ikulu mliwashushia mzigo wa lawama!!.

Huu weusi wetu ni kama laana fulani vipi!!.
 
Mnapokosa cha kuandika huwa mnakuja na nyuzi za kipuuzi kabisa.

Cha muhimu ni ungwana wa maongezi au kujitoa kwa mtu kwa ajili ya taifa lake!!.

Hao wenye kujua nini wazungumze wapi mbona walipoondoka ikulu mliwashushia mzigo wa lawama!!.

Huu weusi wetu ni kama laana fulani vipi!!.
Tena wewe ndio kabisa hiyo laana ya mtu mweusi unaithibitisha kila siku hapa JF.
 
kumbuka huyu ni Rais unayemuongele anaongoza watu zaidi ya mil 50, hata kma una chuki naye, unaelekea nje ya mkondo na najua ukienda hivi siku si nyingi, utadabuliwa tu, kuwa kwenye keyboard hapa, usifikir umejificha sana...jihurumie kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom