Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wewe ndiyo wale wanaoishi.kwa maigizo
 
Saint Ivuga, wanasema ukitaka kuruka agana na nyonga.
Magufuli anataka kutuvusha tuianze safari ya kisiasa na kiuchumi ya Rwanda.
Ndio maana namuomba atuandae!
 
Sheiza, wewe ni kizazi gani?
Wewe hutaki kula kwa kijiko?
Unataka ule kwa nini?
 
Mafisadi wa nchi hii na makuwadi wao mmeshikwa pabaya. Mtatetea sana wakwepa kodi na hata wafanyakazi hewa.
Jpm endeleea kunyoosha nchi.
 
Bora ungenyamaza tu sio kutuletea ukilaza humu. Hivi kabla ya makufuli si mlikuwa mnatukaririsha eti MFUMO ndio tatizo. Mkataka KATIBA Mpya ambayo kimsingi na mapendekezo ya wengi ingeziba mianya ya rushwa, kuongeza uwajibikaji na,haki na maendeleo ya demokrasia.mfumo mbovu unazaa yote hayo ambayo makufuli anayafanyia kazi. Kwa sisi wenzangu na mie wenye akili za mwendokasi wenye kukariri Kila tunachoambiwa alimradi kasema MBOWE, au mbatia Hatuwezi kuelewa hadi tutakapoona mabadiliko ktk Huduma za jamii na maendeleo ya uchumi. Huko kwenye mabenki, bandari na Maeneo yote uliyoyaorodhesha ndiko kulikuwa kumeoza. Mkuu Acha kukaririshwa Kama zuzu fulani.
 
Utachangiwa milioni 7!
 
Tanzania yangu hizi phd(permanent head damage)..na usomi wote hausaidii hii nchi kwenda mbele.. kwamba watu wameweka masilahi..yao binafsi na ya vyama..mbele zaidi kuliko nchi... cha zaidi Wananchi wananchi kuumizwa...kwa maamuzi ambayo hayana upeo wa kuunganisha watanzania..bika kujali..itikadi...kwa nchi hii ni janga kubwa .. mungu ibariki Tanzania na watu wake ...
 
Kuna pressu kubwa sana ya ndani kwenye mifumo! Ndio maana anasisitiza kuombewa! Ameshapewa info zote jinsi uprising ilivyosukwa toka kwa ndugu wa baba kambo kama angetumbua Lugumi na Dr Msomi sana wa Darajani.....!!amestuka! Angekwenda na maji!!! Angalau busara imemfikia akakubali ushauri!
 
Jmc06, Magufuli akishinda 2020 najisaidia mafungu mafungu kutoka Mwanza hadi Dar.
Wewe ongelea hii mitano kama atatoboa!
Anza kujisaidia

Maana kama kawaida yenu hamjui , baada ya miaka 2 mtageuzwa vipi
 
Jmc06, Magufuli akishinda 2020 najisaidia mafungu mafungu kutoka Mwanza hadi Dar.
Wewe ongelea hii mitano kama atatoboa!
Hahaha utakula chakula gani chakukuwezesha kuachia hivyo vitu mafungumafungu?anyway mkuu usiongee hivi tena .,kwa dalili zinavyo onekana vyama vya siasa vya upinzani vitapozwa na kunabaadhi vitakufa kabisa,kwahiyo uchaguzi 2020 unaweza kuwa kama ule wa marudio wa Znz na chama cha wenyewe kikashika hatamau tena kwa ushindi unaoitwa mnono more than 90% ,lakini wapinzani wakuu walikuwa nje ya ushindani,basi ndivyo nionavyo 2020.
 
Ahadi kubwa kila kona ilikua ni wanafunzi kupata mikopo kwa wakati ila naona humu jf vijana wa bugando wanalalamika hazina hawana fedha hivyo wanatoa kwa awamu.

Au wafadhili wamegoma ila mnafanya siri?
 


Hapo umemaliza
 
JPM songa mbele wakati huu ni wa kusafisha njia majeruhi ni wengi lakini mimi naona tanzania ya asali na maziwa inakuja mbele yetu. Siyo lazima kila mtu akupenda. Hata mungu wa upendo anachukiwa na wengi kuliko wanaompenda ndiyo maana laana maafa vimbunga tsunami hazipungue dunian. Kama unaona tz pagumu jaribu rwanda kudadaki
 
aisee..hatari sana
 
hahaha. ...aiseee...ukiwa poa utapendwa tuu
 
Mkuu ulichokianza unakijua mwenyewe.
Unapotaka kutupeleka unakujua mwenyewe.
Ila sisi tunapambana kila siku tuijue kesho yetu.
Mkuu unatuua, tuache tu tuishi kivyetu na wewe uishi na mawazo/ maono yako.
Asante.
Stresss!Tiini mamlaka haiwezekani nchi iendeshwe hobela hobela nyie ndio mnaopanga nyanya hadi barabarani kisa hii nchi ni yetu,ukishauza hizo nyanya kodi hulipi
 
Ebu tuambie hizo fursa unazoziona wewe wakati huu wa mdorolo wa uchumi
 
ewe baba utusikie,mapenzi yako yatimizwe,aaaamen..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…