[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nyumbani kwetu kijijini tulikuwa na jiwe la kama kilo 5 hivi tumelifulikia ardhini nusu yake... Kazi yake kubwa ilikuwa kusugulia magaga miguuni....
Kaka umemaliza ama unaendelea.....? labda kwanza nikatafute stafstahi nikirudi ntakuta umemaliziaNyumbani kwetu kijijini tulikuwa na jiwe la kama kilo 5 hivi tumelifulikia ardhini nusu yake... Kazi yake kubwa ilikuwa kusugulia magaga miguuni....
....unataka kumpa nchi 'mzee wa kunyata !?'Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
...hivi wewe umewahi ongoza hata mtaa au kikundi cha kwaya Kanisani !?Jiwe hana jipya na atazidi kufeli tu si anajifanya mbabe na kujua kwingi,kwa mtanzania kwenye akili timamu hawezi mshabikia jiwe kwa maana anaiangamiza Nchi yetu.
Wasiojulikana umewahi kuwasikia???Nyumbani kwetu kijijini tulikuwa na jiwe la kama kilo 5 hivi tumelifulikia ardhini nusu yake... Kazi yake kubwa ilikuwa kusugulia magaga miguuni....
Apewe Lowasa?Tuliza mshono JPM ndio habari ya Town.Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Nyumbani kwetu kijijini tulikuwa na jiwe la kama kilo 5 hivi tumelifulikia ardhini nusu yake... Kazi yake kubwa ilikuwa kusugulia magaga miguuni....
Magufuli is the president only loved by fools,mwenye akili timamu hawezi kumpenda huyu mtu....Lisu alisema tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea, rais huyu anatakiwa kupingwa na kila MTU mwenye akili.
Mbona hueleweki bro? Au unamtetea msukuma mwenzio hata kama anavurugaWatanzania tuache maneno ya hovyo. Simlisema sukari haina soko? Mkaenda kupiga picha magodown ya bhakresa na kupta mkasema sukari yetu imekosa soko, shenzi zenu. Mkasema korosho zimedoda sijui bei, hatua zimechukuliwa bado tu. Kuna mshenzi mmoja alituambia nchi ina njaa hii, kumbe mshenzi tu, mahindi yapo tele sumri pekee anatulisha nchi nzima. Yaani kuna watu utadhani walizaliwa tumbo moja na shetani. Hivyo kabisa
Lisu pia ni mropokaji , mkicha na angekuwa ni raisi angefanya mabaya zaidi ya hayo unayoyaona mabaya. Nikupe mfano, Issue ya vita ya akina Zitto na Mbowe chadema, alilibeba lile sakata kwa niaba ya mbowe bila hata ya kufuata taratibu za kisheria ma alitukana na kumshambulia zito molitandaoni na kwenye mikutano. Sakata la list of shame alikuwa kinara hivyo hivyo, kumshambulia Dr. SLAA nk, lissu juu ya elimu yake ni rahisi kutumiwa na wengine kutimiza mauchafu yao. He is very unpredictable, na ana uchuki za ajabuLisu alisema tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea, rais huyu anatakiwa kupingwa na kila MTU mwenye akili.
Kwahyo unatakaje? Yaan jukwaa limevamiwa na washamba duh!Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Hakuna labda hostel za udsm ila ukisema ndege hapo napo ni majanga shirika la ndege lilipaswa kuongozwa na private sector for efficiency lakini mda si mrefu dream laina itakuwa juu ya mawe. Ameshakuwa yeye mwenye ndo konda na dereva anaigiza tu kwamba hii iwapeleke wale na iwaache hawa. Hafuati kabisa principles za biashara yaan demand na supply. Finally inchi itasubsidise ili shirika liendelee kuwepo na atakayeumia ni mlipa kodi na sector zingine za muhimuIna maana hakuna hata moja alilofanikiwa?
Yeye lisu ana akili? Mbona yeye lisu ndiye mtu mjinga na waajabu kuliko watanzania woteLisu alisema tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea, rais huyu anatakiwa kupingwa na kila MTU mwenye akili.
utaweza?Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Proove!Yeye lisu ana akili? Mbona yeye lisu ndiye mtu mjinga na waajabu kuliko watanzania wote