Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nyumbani kwetu kijijini tulikuwa na jiwe la kama kilo 5 hivi tumelifulikia ardhini nusu yake... Kazi yake kubwa ilikuwa kusugulia magaga miguuni....
Kaka umemaliza ama unaendelea.....? labda kwanza nikatafute stafstahi nikirudi ntakuta umemalizia
 
Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
....unataka kumpa nchi 'mzee wa kunyata !?'
Huyo abaki mioyoni mwenu tu !
 
Jiwe hana jipya na atazidi kufeli tu si anajifanya mbabe na kujua kwingi,kwa mtanzania kwenye akili timamu hawezi mshabikia jiwe kwa maana anaiangamiza Nchi yetu.
...hivi wewe umewahi ongoza hata mtaa au kikundi cha kwaya Kanisani !?
 
Nyumbani kwetu kijijini tulikuwa na jiwe la kama kilo 5 hivi tumelifulikia ardhini nusu yake... Kazi yake kubwa ilikuwa kusugulia magaga miguuni....
Wasiojulikana umewahi kuwasikia???
Utatumwa ukalifukue shauri yako
 
Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Apewe Lowasa?Tuliza mshono JPM ndio habari ya Town.
 
Nyumbani kwetu kijijini tulikuwa na jiwe la kama kilo 5 hivi tumelifulikia ardhini nusu yake... Kazi yake kubwa ilikuwa kusugulia magaga miguuni....

Mkuu nimechekaaa......siku mgeni (KE) kaja akituka oga na kanga yake, akijisugua ana-vibratee...na wewe mtizamaji una unatikisa kichwaaa
 
Watanzania tuache maneno ya hovyo. Simlisema sukari haina soko? Mkaenda kupiga picha magodown ya bhakresa na kupta mkasema sukari yetu imekosa soko, shenzi zenu. Mkasema korosho zimedoda sijui bei, hatua zimechukuliwa bado tu. Kuna mshenzi mmoja alituambia nchi ina njaa hii, kumbe mshenzi tu, mahindi yapo tele sumri pekee anatulisha nchi nzima. Yaani kuna watu utadhani walizaliwa tumbo moja na shetani. Hivyo kabisa
Mbona hueleweki bro? Au unamtetea msukuma mwenzio hata kama anavuruga
 
Lisu alisema tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea, rais huyu anatakiwa kupingwa na kila MTU mwenye akili.
Lisu pia ni mropokaji , mkicha na angekuwa ni raisi angefanya mabaya zaidi ya hayo unayoyaona mabaya. Nikupe mfano, Issue ya vita ya akina Zitto na Mbowe chadema, alilibeba lile sakata kwa niaba ya mbowe bila hata ya kufuata taratibu za kisheria ma alitukana na kumshambulia zito molitandaoni na kwenye mikutano. Sakata la list of shame alikuwa kinara hivyo hivyo, kumshambulia Dr. SLAA nk, lissu juu ya elimu yake ni rahisi kutumiwa na wengine kutimiza mauchafu yao. He is very unpredictable, na ana uchuki za ajabu
 
Kokoto kabla haijawa kokoto , ilikuwa JIWE kwanza. Tena jiwe KUBWA
 
Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Kwahyo unatakaje? Yaan jukwaa limevamiwa na washamba duh!
 
Ina maana hakuna hata moja alilofanikiwa?
Hakuna labda hostel za udsm ila ukisema ndege hapo napo ni majanga shirika la ndege lilipaswa kuongozwa na private sector for efficiency lakini mda si mrefu dream laina itakuwa juu ya mawe. Ameshakuwa yeye mwenye ndo konda na dereva anaigiza tu kwamba hii iwapeleke wale na iwaache hawa. Hafuati kabisa principles za biashara yaan demand na supply. Finally inchi itasubsidise ili shirika liendelee kuwepo na atakayeumia ni mlipa kodi na sector zingine za muhimu
 
Lisu alisema tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea, rais huyu anatakiwa kupingwa na kila MTU mwenye akili.
Yeye lisu ana akili? Mbona yeye lisu ndiye mtu mjinga na waajabu kuliko watanzania wote
 
Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
utaweza?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom