Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mungu anamuumbua kajaribu kumuua lissu ikashindikana
 

Huyu jamaa hua ni bure..ni kama wale samaki wa kipindi kile.....na kesi tukashindwa na faini tukalipa...

Bure kabisa
 
Kangi : "TUMEGUNDUA LUGUMI HAKUWA NA KOSA"
mkuu ukienda mahakamani kesi alizoshindwa dah ni aibu kwa ofisi ya DPP kuforce kesi hazina kichwa wala miguu..
Alifeli kwenye povu la trilioni 450 huyu anaumwa nani akuhonge huo utajiri..
Amefeli kwenye kauli. Mwananchi unamwambia mi mtetezi wako, akifiwa unajificha, akipata tetemeko unajificha
Amefeli kwenye usalama wa raia leo magaidi tanzania wanateka wapendaye wanakaa naye karibu na maeneo nyeti ya therikali, hawakamatiki..
 
Ngoja ni comment kablanuzi haujafutwa. Alisema mahindi yasiuzwe nje SGR watanunua yote. Bei imebuma, mahindi ya mavuni ga mwaka jana yamekutana na ya mwaka huu na bei zime crush. Acha tuisome namba
Lisu alisema tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea, rais huyu anatakiwa kupingwa na kila MTU mwenye akili.
 
Dhana ya kufikiri kabla ya kutenda....ipo mbali kidogo. Afu kibaya zaidi, walioizunguka meza ya kikao, wanaogopa kutoa maoni pingamizi(wanalinda ugali).

So acha tu tuangalie....tufika tu.
 
Haijawahi tokea mwenye papara akafanya vizuri,wote huwa wanaishia kukoroma tu na kutafuta mchawi
 
Ila asijari sana, watamrudisha tu, tena watamtupa kwenye geti kuu la white house.....akiwa ananukia visamaki samaki, mabaga na mapiza mdomoni.

#hapa ndio kwetu bhana
Jiandae na Nissan nyeupe na watu wasiojulikana kutoka South wanaoongea "kidhungu" na kukupeleka kusikojulikana
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeshawahi kumsikia Lissu ameshika microphone na kusemae yeye ni kichaa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…