WASHE
JF-Expert Member
- Jan 9, 2017
- 746
- 394
Wewe ndiyo uliyefeli ,Jiwe hana jipya na atazidi kufeli tu si anajifanya mbabe na kujua kwingi,kwa mtanzania kwenye akili timamu hawezi mshabikia jiwe kwa maana anaiangamiza Nchi yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo uliyefeli ,Jiwe hana jipya na atazidi kufeli tu si anajifanya mbabe na kujua kwingi,kwa mtanzania kwenye akili timamu hawezi mshabikia jiwe kwa maana anaiangamiza Nchi yetu.
Mungu anamuumbua kajaribu kumuua lissu ikashindikanaAlilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
Jiandae na Nissan nyeupe na watu wasiojulikana kutoka South wanaoongea "kidhungu" na kukupeleka kusikojulikanaMungu anamuumbua kajaribu kumuua lissu ikashindikana
Lisu alisema tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea, rais huyu anatakiwa kupingwa na kila MTU mwenye akili.
Akafunguliwa baraba na tukamsulubisha yule. Sasa majuto yameanzainakulazimu umfungulie baraba, lakini muondoshe huyu, hatufai..
watu;" muondoshe muondoshe muondoshe muondoshe,
subirini 2025
Hahahah muondoshe mtu huyuinakulazimu umfungulie baraba, lakini muondoshe huyu, hatufai..
watu;" muondoshe muondoshe muondoshe muondoshe,
subirini 2025
Dhana ya kufikiri kabla ya kutenda....ipo mbali kidogo. Afu kibaya zaidi, walioizunguka meza ya kikao, wanaogopa kutoa maoni pingamizi(wanalinda ugali).Alilivamia swala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia swala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwa tishia akina nape kuwafukuza ona linavyowatesha wananchi.
Alimfukuza mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya lugumi sasa imeonekana serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo lugumi.
Je kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa miko na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.
Watanzani kwa nini tusimforce ajiudhuru atuachie nchi ili tumtafute mwenye uwezo wa kuongoza!!
...hivi wewe umewahi ongoza hata mtaa au kikundi cha kwaya Kanisani !?
[emoji859][emoji859][emoji124][emoji124][emoji124]Kaka umemaliza ama unaendelea.....? labda kwanza nikatafute stafstahi nikirudi ntakuta umemalizia
Jiandae na Nissan nyeupe na watu wasiojulikana kutoka South wanaoongea "kidhungu" na kukupeleka kusikojulikana
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wasiojulikana umewahi kuwasikia???
Utatumwa ukalifukue shauri yako
....unapata wapi uzoefu wa kukosoa uongozi, wakati hujawahia kuongoza hata kundi la singeli !?Kwani ni lazima mtu awe mpishi ndio ajue chakula kilichopikwa vibaya?
Umeshawahi kumsikia Lissu ameshika microphone na kusemae yeye ni kichaa?Lisu pia ni mropokaji , mkicha na angekuwa ni raisi angefanya mabaya zaidi ya hayo unayoyaona mabaya. Nikupe mfano, Issue ya vita ya akina Zitto na Mbowe chadema, alilibeba lile sakata kwa niaba ya mbowe bila hata ya kufuata taratibu za kisheria ma alitukana na kumshambulia zito molitandaoni na kwenye mikutano. Sakata la list of shame alikuwa kinara hivyo hivyo, kumshambulia Dr. SLAA nk, lissu juu ya elimu yake ni rahisi kutumiwa na wengine kutimiza mauchafu yao. He is very unpredictable, na ana uchuki za ajabu
lakini mbona watu wakipost upupu Facebook mark zucernburg huwa haletwi kisutuKweli. Ifike mahala tutambue nyuma ya JF kuna mtu anasota mahabusu kwa ajili yetu