.Wazri wa mambo ya nje ya Afrca kusini wanakotoka aliwachoma vizuri tu mbona.Huko waliko watakuwa hawana hamu na TanzaniaMAjasusi wa CPJ wamenyooshwa na Tanzania itaendelea kuwanyoosha majasusi wa namna hiyo bila kujali kelele za vibaraka wao wa ndani na nje ya nchi.
Wewe ni Gavana wa benki kuu ya kenya hadi tukuamini unachoongea? Takwimu alitoa Gavana wa benki kuu ya Tanzania tunasubiri kauli ya gavana wa benki kuu ya kenya ndio tuamini sio weweMkuu, asante sana kwa kuonesha uzalendo
"KUDANGANYA KUNAPUNGUZA HESHIMA NA INASHUSHA THAMANI YA ELIMU YAKO. Huyu Governor wa Bank Kuu anasema tuna akiba kubwa ya fedha kuliko nchi yoyote Africa Mashariki....anachekesha!!! Bank of Tanzania ina akiba ya fedha za kigeni kiasi cha US$ 5.6 Billion inatosha kununua huduma na bidhaa (Import) kwa muda wa miezi mitano (5 months), Central Bank of Kenya (CBK) inayo akiba ya US$ 8.3 Billion ambayo inatosha ku-service import kwa miezi 6 na nusu (6.5 months) hizo figures ni za jana ......"
Nasubiri waimba mapambio waje hapa
Mtapata tabu sana kutetea uongo.Wewe ni Gavana wa benki kuu ya kenya hadi tukuamini unachoongea? Takwimu alitoa Gavana wa benki kuu ya Tanzania tunasubiri kauli ya gavana wa benki kuu ya kenya ndio tuamini sio wewe
Hiyo miezi sita na nusu yako ya foreign reserve za Kenya ku cover imports ni uongo wako uliokubuhu hakuna kitu kama hicho.Mtapata tabu sana kutetea uongo.
Kinyesi cha kobe/paka hata ukifunike vipi kitanuka tu
ESCROW: 324 BIL....Mafisadi wamenyooshwa na mtetezi wao keshajichokea na anakimbiwa hovyo na wanachama.
ESCROW: 324 BIL....Mafisadi wamenyooshwa na mtetezi wao keshajichokea na anakimbiwa hovyo na wanachama.
Huwezi kupotea kama hujui uendakoMwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!