Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
SUFURI.

amini usiamini. Tanzania haikuwahi kuongozwa na watu wenye roho mbaya kama sasa. na wahenga wanasema roho mbaya haijengi. acha tuendelee kubomoa.
 
Wewe inaonesha umesomea uandishi wa habari kutoka KOLOMIJE UNIVERSITY OF JOURNALISM TAWI LA CHYATO. MAANA HIZO NI CHANGAMOTO WEWE UNASEMA NI MAFANIKIO.
 
Kuleta hofu kwa wananchi kuichukia nchi yao kama wapo uhamishoni... Hiiii ndo kubwa katika mafanikio ya jiwe
Hivi huwa mnawaongelea wananchi wa wapi kamanda, ili tuje kutalii tuwatalii.
. Huku Ntwara kila wananchi wanaipenda serikali na nchi yao balaa!
 
Kama tulivoingizwa mkenge 2015 kuuziwa FISADI aje aue ajenda ya chama ya kupinga UFISADI.
Hadi leo chama kimekosa ajenda kinavizia matukio tu. Mara MAFAO ya wafanyakazi, mara Ushoga, mara KOROSHO.
Yaani Mafisiem ynatueandesha kama midoli vile .
Naona umechanganyikiwa!!
 
SUFURI...amini usiamini. Tanzania haikuwahi kuongozwa na watu wenye roho mbaya kama sasa. na wahenga wanasema roho mbaya haijengi. acha tuendelee kubomoa.
Wasiojulikana, vichaa, mawe...sijui hawa jamaa waliumbwaje.
 
Ngonjera
Mtanyooka tu.
To suggest that Magufuli's policies are populist or popular is not understanding the mood among the average person. These policies are not popular, they're authoritarian. The people have no choice and just like a lamb that is being led to a slaughter house...oh, if only it had a choice!
 
Kuua umoja wa kitaifa

Kuua demokrasia

Kuua amani ya Watz

Kuongeza uadui kati ya raia na jeshi la polisi

Kuongeza chuki kati ya wana CCM na upinzani Na mengine lukuki.

Kuleta hofu kwa wananchi kuichukia nchi yao kama wapo uhamishoni

Kufilisi Mifuko ya Pensheni ya wastafu

Watu wanaojulikana wanafichwa kwenye giza la wasiojulikana

Watu kuokotwa kwenye viroba

Wananchi kuwa masikini wakutupwa

Kununua wapinzani, na mtoto wa Dada kuwa mlipaji mkuu wa Hazina
Dah hayo nayo ni mafanikio!
 
Mbona tunanyooka wote tu haina shida japo ww unajitoa ila mnyoosho tunapata wote

Akili zenu mkiambiwa zimeganda mnajifanya kukataa POPIND mkubwa ww kazi kuweka picha za wanaume wenzako kwenye avatar au ndio shemeji anayekutatua marinda???
Ngonjera
Mtanyooka tu.
 
Kuua umoja wa kitaifa

Kuua demokrasia

Kuua amani ya Watz

Kuongeza uadui kati ya raia na jeshi la polisi

Kuongeza chuki kati ya wana CCM na upinzani Na mengine lukuki.

Kuleta hofu kwa wananchi kuichukia nchi yao kama wapo uhamishoni

Kufilisi Mifuko ya Pensheni ya wastafu

Watu wanaojulikana wanafichwa kwenye giza la wasiojulikana

Watu kuokotwa kwenye viroba

Wananchi kuwa masikini wakutupwa

Kununua wapinzani, na mtoto wa Dada kuwa mlipaji mkuu wa Hazina
Hili la uadui Kati ya Polisi na RAIA ni wazi kabisa. Mimi ninapotoka kazini kwangu Kibaha maili moja kuja hapa nyumbani kwangu Mlandizi askari huwa wananiomba lift. Nawakatalia. Sibebi polisi hata kidogo. Wakati nasimulia hayo ofisini staff mwenzangu pamoja na mteja aliyekuja kupata huduma nao wakanisapoti kuwa hata waone askari anagalagala anakaribia kufa, wafe tu lakini Gari yake haitabeba polisi iwe kwa lift au kwa msaada wowote.
 
Ukipata nafas ya kuzamia i swear u have to go ferever.... dnt back to misri
 
Inawatafuta
tapatalk_1543149448889.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom