Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Huku kwetu ,vijana bwana wakaitana eti wausukume ukuta wa uwanja wa mpira ili uongezeke(upana),Mimi nikawa nawacheka tu,najua njaa ikiwashika watajua kuwa wafanyacho nikitu ambacho kamwe hakiwezi kutokea njaa ikipamba moto mmoja mmoja anaondoka bila kuaga mwingine.
 
Alikuta mambo mengi yameishaharibika; hivyo akijaribu kuyafanyia marekebisho yanaharibika zaidi. Tukae tujiulize maswali ya kimantiki.
1. Alipoingia madarakani alikuta nini azina?
2. Nani aliharibu miundo mbinu ya treini na kuliingiza taifa kwenye matumzi ya barabara?
3. Nani alikuwa akiinjinia uuzwaji wa wanyama kutoka kwenye mbuga zetu?
4. Nani aliruhusu mfumo wetu wa elimu uendelee kutumia utaratibu ule ule wa mkoroni?
5. Nani aliharibu kwenye kilimo kwanza?
6. Nani aliuza benki zetu, nyumba za wafanyakazi kwa kisingizio cha ubinafshishaji?

Majibu ya maswali haya yatamfanya rais wetu aonekane kuwa anachokifanya ni kufufua kile kilichokuwa kinaelekea kufa kabisa. Na hapa sio kwamba namtetea kwamba mimi nina hali nzuri - hapana. Sikuwahi kuwa mwanaccm na sitegemei kwa sababu hii ni kambi yenye kuendeleza yale ya wakoloni.
 
Tujikite kwenye mada kwanza ili twende sawa.

Vipi kipengele cha korosho ule mfuko wa export levy alikuta nao umeharibika?


Tuanzie hapo mkuu!
 

Ni kweli alikuta vitu vingi vimeharibika LAKINI yeye anavimalizia na sio kuvifufua.
 
Kazi ya ma-CHADEMA hiyo Mkuu! Waliiharibu sana hii nchi beyond repair! Angalau sasa inakombolewa kutoka mikononi mwa manyang'au Chadema waliotunga sheria za ajabu ajabu za kuifilisi nchi.
 
Kazi ya ma-CHADEMA hiyo Mkuu! Waliiharibu sana hii nchi beyond repair! Angalau sasa inakombolewa kutoka mikononi mwa manyang'au Chadema waliotunga sheria za ajabu ajabu za kuifilisi nchi.
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo Code mkuu [emoji847][emoji847]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…