Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kazi ya ma-CHADEMA hiyo Mkuu! Waliiharibu sana hii nchi beyond repair! Angalau sasa inakombolewa kutoka mikononi mwa manyang'au Chadema waliotunga sheria za ajabu ajabu za kuifilisi nchi.
CHADEMA + wapinzani wengine ni wachache sana bungeni; waliokuwa wakipitisha maamuzi yasiyofaa ni CCM; nakushangaa unaposema hiyo ni kazi ya Chadema. Jiulize ile mikataba iliyosainiwa zaidi ya 17 pasipo kutafsiriwa ilipitishwa na nani?
 
Na mbowe na genge lake.
 
Kazi ya ma-CHADEMA hiyo Mkuu! Waliiharibu sana hii nchi beyond repair! Angalau sasa inakombolewa kutoka mikononi mwa manyang'au Chadema waliotunga sheria za ajabu ajabu za kuifilisi nchi.
Dah watu tafsida... Barrraaaa
 
Naye alikuwa katika timu iliyofanya yote hayo!

Alikuta Nyumba za serikali zimejaa tele, akazipiga bei
 
Binafsi nimechukia sana anapotaka kuwadhulumu wakulima korosho kwa kisingizio cha mashamba....

Bwana huyu sijui kama 2020 mambo yatamwendea sawa...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…