FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Aisee..., ila mbona Diamond maisha yake mazuri tu, kama vp kuwa msanii, tafuta kiki tuWengine tumegonga 67 hamna kitu.... wewe 28 tu
Huwa sipendi kuishi kama fulani... be uniqueAisee..., ila mbona Diamond maisha yake mazuri tu, kama vp kuwa msanii, tafuta kiki tu
South Africa nayo ni serikali hiyo? Haina tofauti na serikali ya Magufuli....kila kitu kibovu, walipokuwa wanatawaliwa na wachache angalau walikuwa na adabu na heshima..Wazri wa mambo ya nje ya Afrca kusini wanakotoka aliwachoma vizuri tu mbona.Huko waliko watakuwa hawana hamu na Tanzania
SISI NDIYO WAAJIRI WAKE....ALITUOMBA KURA AFANYE YALE TUNAYOONA YANAFAA. TUNAMLIPA KWA KODI ZETU. HAFANYI YALE ALIYOYASEMA HIVYO HASTAHILI.kwanini unamchagulia mambo ya kufanya? Subirini nanyi mtoe Rais mfanye mtakavyo
Gwajima mwenyewe tayari kashaekwa mfukoni
Km unaimaniAaaah wapi. Wale wenye kuamini vitabu vitakatifu zinadai nyakati za mwisho watu watapata taabu sana.
Someni vitabu vitakatifu.
Km unaimani
Mtoto anapoachishwa ziwa aanze chakula kingine huwa lazima atowe machozi kwa muda mrefu, akizoeya tu hawezi kunyonya tena, wala ladha ya titi la mama halitaki tena " vivyo hivyo watanzania walizoeya michongo, fraud za kila aina, wizi, forgery, rushwa, utapeli sasa hivi unakula kwa jasho" hapo lazima hiyo jamii au kikundi wanung'unike. baadaye watazoeya na kurudi kwenye mstari.Kila kona ni vilio dhidi ya utekaji, uonevu na hata mauaji ukiachia mbali hali ngumu ya uchumi.
Bila shaka Mungu atafanya maajabu yake. Kiini cha manun'guniko kitasambaratika. Mungu ataifanya nafsi ya huyu kupata tabu ya ndani kwa ndani na hatimaye kitoweka kutoka katika uso wa dunia kimaajabu.
Hakika mfalme jiwe anaombewa kufa na watu anaowaongoza. Watu wamechoka