Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Upo sahh
 
Akitoka madarakani mtatamani angeendelea hata mi 8 zaidi maana hizo hizo fly over mnazosema ndipo mtakapokuwa mnapita na wew na familia yako
 
Naomba msamaha kwa watanzania kwa kumsema kiongozi wetu kwa jambo hili

Mkuu kuna mambo mengi unajichanganya sana

Suala la uwajibikaji wa kiserikali na ofisi kwa ujumla
Naona Makonda na Makala kwa sasa aliyepaswa kuwa nje system nani?

Kosa la Makala ni la kawaida kulingana na makosa pamoja na tuhuma za Makonda?

Juzi mbona ulitwambia ndo mkuu wa mkoa bora?
Kuna nini cha ghafla?

Nini kinakupa kigugumizi kufanya maamuzi yanayohusu Makonda?

Britannica
 

Yeye na bashite mahusiano yao ni ya matambiko hayavunjwi kwa taratibu za kiserikali bali mizimu. Na huko kwenye mizimu bashite ndio senior kwa Magu.
 
Mtoto mwenye raha kuliko watu wote duniani hawezi kutumbuliwa
Time will tell. Walikuwepo kama yeye duniani na sasa wapo Lupango. Wako wapi kama mke wa Mugabe aliyediriki kumpiga mhudumu wa hotel? Bashir na wenzao akina Ghadaffi na watoto wao wako wapi? Heri Mwalimu aliitwa dictator lakini akatupa elimu nzuri ya kutuandaa maishani. Sasa hivi ni bora elimu siyo elimu bora. Tuliosoma na watoto wa mwalimu tunakumbuka maisha waliyokuwa nayo ambayo yalikuwa kama sisi sote. BASHITE.
[
OTE]
 
Mkuu, nawewe umekatwa mkia nini? Kwa muda mrefu ulikua ni mtu wa kupiga makofi na kusifia tu, nini kimekupata?
 
Kama huelewi maana ya nepotism angalia utawala wa Magufuli utaelewa na vielelezo vyake.
Ni zaidi ya hiyo 'nepotism'.

Mtu anayetunza funguo za makabati yote sio wa kumkurupukia kirahisi. Akina Britannica wataimba kila aina ya nyimbo ...lakini inashangaza kidogo, kwa mtu kama 'Britannica' asielewe haya yote! Nadhani kuna 'disconnection' mahali fulani inayomfunika macho ili asione.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…