Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Yeye na bashite mahusiano yao ni ya matambiko hayavunjwi kwa taratibu za kiserikali bali mizimu. Na huko kwenye mizimu bashite ndio senior kwa Magu.
Anh...nilitaka kupita kimya kimya na kicheko changu...lakini imenibidi nikubali uzito wa hoja yako hii. Sio Bure! Kuna kitu.
 
Hao graduate si wanachagua kazi wanataka za ofisini kuzunguka na kiti wakipigwa na kiyoyozi ndo shida
Tena ikifika hiyo 2020 huezi amini kwa kura atakazo zipata
 

Ni wapi aliambiwa Makalla ni mkuu wa mkoa bora ? Kuweni makini kusoma na kufanya rejea.Mataka na Makalla wapi na wapi ?
 
Muda bado
 

Mwalimu alikuwa cold dikteta sababu ya malezi ( kulelewa Na wazazi wawili hadi ukubwani) pia dini ilimshape ikamfundisha kuhusu Mungu roho,uhai Na utu.Tofauti Na mablood dikteta wa zama zake
 
Methari ya kiswahili " Afuatanaye na bwana nae bwana" mtasubiri sana kwa Makonda
 


Makonda bado kijana na hana akili nzuri, anafundishwa kazi bado.
 
Ni wapi aliambiwa Makalla ni mkuu wa mkoa bora ? Kuweni makini kusoma na kufanya rejea.Mataka na Makalla wapi na wapi ?
Hao ndio wahabarishaji wetu wa jf, na tunawaamini kweli kweli. [emoji848][emoji848]
 
Kwa Mwalimu walikuwa wanaangalia utabiri wahali yahewa kwenye TV je nakwenu ilikuwa hivyo? Kama nihivyobasi nikweli mlikuwa sawa
 
Yeye na bashite mahusiano yao ni ya matambiko hayavunjwi kwa taratibu za kiserikali bali mizimu. Na huko kwenye mizimu bashite ndio senior kwa Magu.
Mpaka hivi tunavyoongea Daud Maliyamungu Bashite anamiliki waganga wa kienyeji 83 toka mataifa mbalimbali ambao wameletwa na Le mutuz ambaye ni dalali wa ndumba zake kwa sasa, Maliyamungu Bashite yeye ni mshirikina mkubwa lakini mbele za umma huzuga kuzunguka makanisani kuombewa hata mshirika wake cyprian Musiba anakiri kuwa Maliyamungu Bashite ni noma kwenye idara hiyo na wao huwatumia waganga hao hao kujikinga dhidi ya moto wa watu mbalimbali wanaowafanyia visa na vioja na unyanyasaji wa kila aina.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…