Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza ,ni bora ukaendelea kulima vitunguu vyako na karanga ,"sirikali",unaeona anafaa kwake hafai ,na yule unaona hafai kwake anafaa sana ,na si kila jambo litawekwa wazi ,never at all
 
Mkuu, nawewe umekatwa mkia nini? Kwa muda mrefu ulikua ni mtu wa kupiga makofi na kusifia tu, nini kimekupata?

Mimi pia nimejiuliza sana, ila hawa ni kuwa wanatafuta kuongeza malipo, au malipo yamekatwa.
 
Maagano ya kuzimu huwa hayavunjwi, mpaka mwisho wa Dunia
 
Makonda anafanya vizuri sana Dar es salaam.
Ni msimamizi mzuri sana wa mipango ya maendeleo katika jiji.
Mengine ya ujana hayana effect kwa wananchi wa Dar es salaam. Akikua ataacha.
 
Mkuu hakuna disconnection, Mayalla aliwahi kusema kwamba unaweza kuwa unajua sababu au jambo ukaliibua kama swali bila kutaja ukijiacho ili uone mtazamo wa watuwengi je wanaujua ukweli,
Pascal Mayalla
 
Huwezi kujua umepotea kama hujui unakoenda.
 
Kwa Mwalimu walikuwa wanaangalia utabiri wahali yahewa kwenye TV je nakwenu ilikuwa hivyo? Kama nihivyobasi nikweli mlikuwa sawa
Kwa mara ya kwanza niliona TV 1995 ya DTV kabla ya hapo kulikuwa na watu wana video zao. Mimi nisingeweza mudu hivyo vitu.
 
Salam wote,

Hoja yangu ya leo ni juu ya huyu dereva wetu...kwanza niseme wazi kabisa jamaa ni msanii, lakini pia ana Roho mbaya nafikiri tukitafuta duniani, anashika namba zenye digit Moja.

HAWA MAWAZIRI anao wateua, ni kama MBWA anayepewa NYAMA yenye SUMU! matokeo yake semeni wenyewe.

Mambo yote yanayoharibika hapa NCHINI kuanzia ukusanyaji MBOVU wa pesa, KUHARIBIKA kwa KOROSHO, kushuka kwa MAPATO, kufungwa kwa BIASHARA, watu kupotea kwenda KUSIKO JULIKANA, SIASA CHAFU na harakati chafu za kina MUSIBA......................


Yoote hayo, ni MATOKEO ya maamuzi mabovu ya MAGUFULI na sio MAWAZIRI anaojifanya KUWATUMBUA!!!!Kwanini?? Kwasbabu..

1. Ni nani aliyevuruga utaratibu wa wafanya biashara wa maika yote kununua KOROSHO na akatuma jeshi???

2. Ni nani aliyesema POLICE akiua asishitakiwe bali apandishwe cheo???

3. Ni nani aliyesema HAPANGIWI NA MTU YOYOTE CHA KUFANYA NA UKIMPANGIA NDO UMEHARIBU???

4. Ni nani aliyesema TRA watumie nguvu yoyote kukusanya mapato??

5. Ni nani aliyesema ole wake mkurugenzi atakaye mtangaza mpinzani kuwa mshindi????

Sikilizeni watanzania, POINT ya tatu ni msingi wa matokeo yote na mambo yote yanayoendelea hapa nchini... JIULIZE SWALI? WEWE NI BABA MWENYE NYUMBA NA USHASEMA NDANI YA NYUMBA YAKO HAKUNA WA KUKUPANGIA CHA KUFANYA..UNADHANI SIKU UKIVAA MKANDA UKAVUSHA TUNDU MOJA KUNA MTU ATAKUAMBIA?….Je utakapoenda ukaaibika huko nje unarudi KUWATANDIKA WATOTO kwa kutokukuambia umefunga mkanda VIBAYA??...HUO NI UONEVU..NA kwa level ya NCHI huo ni U-DICTATOR.

MZEE MAGU, MAMBO UMEYAHARIBU MWENYEWE, DANGANYA NYUMBU MIMI NIMEKATAA..TOKA HADHARANI UTUAMBIE una mkakati gani wa kututoa kwenye hili shimo? Wale wanufaikaji, mnakaribishwa pia, ila hapa ni mahali huru pa kujadili mustakabali wa MAMA TANZANIA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…