gmstarpro
Senior Member
- Aug 7, 2015
- 101
- 74
Mazuri yake ni mengi kuliko mabaya yake. Kitu nilichojifunza nikuwa watu wanaolalamika kila kitu, hawatokaa waridhike na hali au matatizo waliyonayo ss wanazadhani imesababishwa na mtu fulani na sio wao. Mkuu embu Sema km ww ungekuwa magufuli ungeifanyia nn Tanzania. Uzinzi wa magufuli unakuadhiri nini ww?. Mbona Kuna baadhi ya viongozi wa upinzani ni wazinzi na hata clip zao tumeziona wakifanya mambo ya hovyo.KAMWE usimfananishe Nyerere na vitu vya ajabu ajabu kama huyu nduli, mwizi, muongo, fisadi, mzinzi na maovu chungu nzima mengine. Huyu hafanyi makosa bali anafanya makusudi tia akili kichwani. Nyerere hakuwahi kugoma kukaguliwa na CAG kuiba senti moja hazina wala kufanya ufisadi.
Huyo kachota hazina Trillions bila idhini ya Bunge, ufisadi na wizi wa kutisha ikiwemo ukwapuzi wa 2.4 trillions na kugoma kukaguliwa
Acha kabisa kumfananisha Nyerere na huyo mhuni ambaye ameshindwa hata kuheshimu taasisi ya Urais.