Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 766
- 1,104
haueleki kabisa upo kama sijui kitu gani zikiletwa habari za kuvunja sheria unajikuta unapondea.asaivi ananyoosha nchi
Na like kampa mleta mara.haueleki kabisa upo kama sijui kitu gani zikiletwa habari za kuvunja sheria unajikuta unapondea.asaivi ananyoosha nchi
Hawezi kunyosha nchi kwa kufuata Katiba?Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Mkuu pascall ulishawahi kupiga nyeto.Samahani lakiniHivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Exactly.Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Pasco usijitoe fahamu, nchi zilizopinda ni Somalia, Sudan kusini, Syria, Afghanistan na nyinginezo Tanzania haijawahi kupinda.Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Navipi Kama akitanga hadharani kua Hana mpango wa kuachia madaraka mtafanya nini.Penye moshi kuna moto, sasa ni dhahiri kabisa kuwa Magufuli hana mpango wa kuachia madaraka hata baada ya muda wake kuisha.
Mtu ambaye hata kipindi chake kimoja cha Urais hakijaisha tayari anatamani tena aendelee kuwa Rais huku akijiona yeye ni bora kuliko wenzake.
Kipindi kimoja tu cha Urais wake nchi ipo hoi kiuchumi huku kundi la mambumbumbu la UVCCM likishangilia Kila janga, hiyo si ajabu sana kwa sababu hata Hitler naye alikuwa na kundi la majuha lililokuwa linamshangilia.
Tunaojitambua tusikubali Magufuli aivuruge Hii nchi.
Amefanikiwa kuliweka bunge mfukoni na mahakama pia.
Hizo ni elements za udikteta, tukimwachia Magufuli afanye apendavyo hii Tanzania itakuwa Kama Burundi au Congo, ataiharibu sifa ya Tanzania kimataifa.
Amejitahidi sana kuzima nguvu za upinzani kwa uwezo wake wote.
Tusimame wote tumwambie Magufuli aheshimu katiba ya nchi
Soma contents za mada uelewe ndo uje kuchangia, usikurupuke utadhani Jokate kamwagiwa kitwili na mzee Meko Kwenye bao la kwanzaKelele na migomo ya wapumbavu wachache wasiotaka kukubaliana na uongozi wa JPM hawawezi kuchafua donge zima, watabaki kuwa wao huku wakiiacha nchi ikiimarika.
Ukabila kaziniHivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Kwa hiyo unapenda waliofanya uvasco dagama,waliofanya biashara Ikulu na kuuza dhahabu yetu nje kama makinikia,eh..!Kweli ujinga hauna mwisho.Kweli ni heri kuwa mjinga, kuliko mpumbavu. Wewe unamsifia huyo muuaji kwa lipi? Uwizi wa T 2.4, kufanya serikali, bunge na mahakama viko chini yake au? Acheni kusifia huku mkijua ni uongo, hukumu yenu ni kifo.
Penye nia pana njia,itafute upige lapa.Unadhani hati za kusafiria zingepatikana kirahisi ungeona makelele kutokea humu?
Na hata mateso na shida za umasikini wa watanzania unaoendelea hivi sasa ni matokeo ya maandalizi ya miaka 10 (2005-2015) iliyopita. Hivyo sijutii na hiki kinachotokea zaidi nafikiria kufanya kazi ili kujenga taifa upya baada ya kutawaliwa kwa miaka 10.Kwa kuwa hoja haina mikono, Mimi binafsi naunga mkono hoja kama ifuatavyo:
Watanzania wengi ni waelewa sana na wanaishi juu ya mstari wa kiwango cha Umaskini yaani above world poverty line
Hii nchi watu wote wamezaliwa kuanzia mwaka 2015 hivyo wanashuhudia Maendeleo makubwa ambayo hawajawahi kuyaona, Wewe Pascal si una miaka 4 tu tangu 2015,Mambo ya elimu bure, Reli ya Tazara, Mikakati ya elimu ya watu wazima wajue kusoma ni ya mwaka 2017 hapa juzi tu
Kabla ya 2015 hii nchi ilikuwa ya kusadikika, Nasikia kabla ya 2015 hakukuwa na Tanzania, Ila sasa imezaliwa upya hivyo ilikuwa fumbo tu, Tanzania ni giza tu hakuna umeme ila tunategemea bwawa la stigilers gorge ili kwa mara ya kwanza tutaona umeme, Huu unauona umeme Leo ni mazingaombwe na malue lue tu
Atangaze mara ngapi?Navipi Kama akitanga hadharani kua Hana mpango wa kuachia madaraka mtafanya nini.
Usishangae Pasco anastahili haya majibu ikibidi apigwe kabisaDuh
Ova
Uko sahihi kabisa mkuu!Ila Magufulization nimeitumia kama "process" sio "jina."Mkuu hawa walalamishi wa humu JF ndio sehemu ya iliyokuwa minufaika ya ufisadi.
Na hawa kinachowauma ni jinsi wengi wa wafadhili wao walivyotumia mapesa kuhakikisha wanaingia ikulu lakini wakashindwa.
Na wengi walizowea kuishi Dar kwa kutumia vimemo,sasa magufulization kahamishia serikali dodoma,na mazoea hataki.
Ndio hizi sumu zinazowatesa hawa wafuasi wa mifumo iliyopita.