Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kweli ni heri kuwa mjinga, kuliko mpumbavu. Wewe unamsifia huyo muuaji kwa lipi? Uwizi wa T 2.4, kufanya serikali, bunge na mahakama viko chini yake au? Acheni kusifia huku mkijua ni uongo, hukumu yenu ni kifo.

mbna ata kabla mahu hajaingia madarakani mauwaji yalikuepo: uwizi pia ulikuepo tena uliokithiri. bunge lilionyeshwa live ikawa ni aibu tu kwa nchi, watu wanakutwa live wamelala ndo unachotaka kuonyesha nchi zingine? rudi shule kama huezi kuangalia kitu upande wa postive
 
Sawa ila mwambie mkuu tunataka noa zetu
 
Wewe acha kutuchanganya hapa... Tangu lini bunge, mahakama, demokrasia vikawa na faida kwetu tangu Uhuru?
 
Kwani hajaihehimu katiba.Hebu tuainishie mambo aliyofanya ambayo yako kinyume na katiba.
 

unasababisha watanzania wengi wenye akili timam waonekane hawana akili kama wewe: cha msingi rudi shule tu amna fadia yoyote umeleta uku mtaani,
 

Bahati mbaya sana mkuu, umejiunga jf miaka 4 tu iliyopita, nyuma kidogo kabla yako kulikuwa na kampen kubwa ya hum jf kuwa tunahitaji rais mkali, ambae atakemea maovu, Mungu si athumani kamleta magufuri,

Wakati huo mnyika alikuwa miongoni mwa wa bunge mahiri sana akafika hatua akamuita rais wetu dhaifu, hakuna alie lalamika, kulikuwa na maandamano na migomo isiyokuwa na kichwa wala miguu, ilifika mahari mpka wenye magari wakawa wanagoma, unaamka tu asb unawnda ubungo au kwenye kituo cha daladala hakuna usafri, uliza sabab sasa hakuna...

Nchi ilifika hatua hakuna mwenye maamzi ya mwisho, na hakuna alie ona, sasa amekuja mkali, leo tena kuna malalamiko, watz tupewe nn?

Tumwache amalize awam yake, lawama ni lazima maana hata Mungu pamoja na kutuumba katuambia tu tumtiii lakn bado tunaona hafai...
 
Hivi Pascal mbona your capacity of thinking is diminishing?
 

YAANI ILI UPATE CHA KUMKOSOA MAGUFULI NI LAZIMA KWANZA UMSINGIZIE JAMBO HALAFU HICHO ULICHOMSINGIZIA NDIO KIWE MSINGI WA KUMKOSOA NA WENGINE HATA KUMKASHIFU NA KUMTUKANA. KWELIN MAGUFULI ANAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA ISIYOKUWA NA LAWAMA HALISI
 
Comment yako hii imezingatia maslahi ya nchi na Watanzania au yamezingatia maslahi ya usukuma na uchumia tumbo, hebu waonee huruma watanzania wanavyoteswa na shetani mkuu wa Bermuda triangle ya Tanzania.
 
Magufuli ana ugonjwa wa akili wa kujichanganya.

Mara anasema hakutaka hii kazi, mara anasema kachoka, mara anatamani angekuwa IGP, mara hataki kubakia madarakani baada ya muda wake kuisha, mara anataka kuongoza hata baada ya muda wake kuisha.

He is all over the map.

Hata yeye mwenyewe anajua anataka nini?
 
Hela zinapelekwa kwa kufanya maendeleo halafu zinapigwa na hao wachache
Halafu mpaka Rais au PM azunguke ndio madudu yaonekane
Kwa kweli huwa sielewi je kwanini watu wengine wanapenda watu waendelee kupiga hela na kurudi nyuma tu
Kuna maamuzi lazima yafanyike ili mambo yaende
 
Hii nchi bila Magufuli hatuwezi kwenda mbele. Kura yangu nitampa tu na hata kama ni miaka mingine aendelee kama Kagame aweze kuinyoosha hii nchi maana ni kweli ilikuwa imeoza. Wananchi mpeni tu kura, anapokesea ni mapungufu ya mwanadamu tu lakini kwa ujumla anajitahdi.
 
N
Ndege zimeanza kuchakaa, bunge karibu mda wake uishe, CAG yupo njiani kuwasilisha riport nyingine - lakini wapinzani mmebaki na agenda hizo kuukuu! Ndio maana wananchi hawawaungi mkono. Hamna jipya lolote. Mnakalia hayo madudu yenu ya kutunga ambayo ni zilipendwa. Leteni chalenges mpya serikali izifanyie kazi, ndiyo maana ya upinzani wenye tija. Siyo lawama lawama tu! Jiongezeni jamani tuwaunge mkono.
 
Niko na wewe mkuu. Watu walipiga dili sana nchi hii hakuna aliyesema. Sasa nchi inaenda vizuri tunalalamika. Tujitafakari.
 
Hoja nzuri,tutafute jukwaa sahihi kufanikisha hilo mapema iwezekanovyo.
Tudai Katiba ya wananchi kabla hatujakawia zaidi.Wakati ni sasa,tuunganeni kupata Uhuru halisi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…