stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Kweli ni heri kuwa mjinga, kuliko mpumbavu. Wewe unamsifia huyo muuaji kwa lipi? Uwizi wa T 2.4, kufanya serikali, bunge na mahakama viko chini yake au? Acheni kusifia huku mkijua ni uongo, hukumu yenu ni kifo.
mbna ata kabla mahu hajaingia madarakani mauwaji yalikuepo: uwizi pia ulikuepo tena uliokithiri. bunge lilionyeshwa live ikawa ni aibu tu kwa nchi, watu wanakutwa live wamelala ndo unachotaka kuonyesha nchi zingine? rudi shule kama huezi kuangalia kitu upande wa postive