GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Miaka mitano umekanyaga haki za watumishi wa Umma, unakiuka waziwazi sheria za Utumishi wa Umma Halaf unatamba kununua ndege kila kukicha, huku unatutukana na kuwatukana Nyerere Hadi Kikwete Kwamba hawakununua Ndege as if Ndege is someone's manhood...
Hata huwazi Kuwa wenzako Hizo hela unazozitumia wewe kwa kificho Bila Bunge wala CAG Kujua wenzako walizitumia kulipa nyongeza ya mishahara kwa watumishi waliopo na kuajiri wengine wapya...
Wewe umedhulumu Haki za watu Kisa unapenda ndege...sawa Mzee wa Midege, See You in the ballot booth next year...UNA DHARAU SANA YAN!
Siku mola akimpenda tutamzika na midege yakeMiaka mitano umekanyaga haki za watumishi wa Umma, unakiuka waziwazi sheria za Utumishi wa Umma Halaf unatamba kununua ndege kila kukicha, huku unatutukana na kuwatukana Nyerere Hadi Kikwete Kwamba hawakununua Ndege as if Ndege is someone's manhood...
Hata huwazi Kuwa wenzako Hizo hela unazozitumia wewe kwa kificho Bila Bunge wala CAG Kujua wenzako walizitumia kulipa nyongeza ya mishahara kwa watumishi waliopo na kuajiri wengine wapya...
Wewe umedhulumu Haki za watu Kisa unapenda ndege...sawa Mzee wa Midege, See You in the ballot booth next year...UNA DHARAU SANA YAN!
Wewe wala si mtumishi ni wakala wa mafisadi tu! Hapa Kazi Tu!Miaka mitano umekanyaga haki za watumishi wa Umma, unakiuka waziwazi sheria za Utumishi wa Umma Halaf unatamba kununua ndege kila kukicha, huku unatutukana na kuwatukana Nyerere Hadi Kikwete Kwamba hawakununua Ndege as if Ndege is someone's manhood...
Hata huwazi Kuwa wenzako Hizo hela unazozitumia wewe kwa kificho Bila Bunge wala CAG Kujua wenzako walizitumia kulipa nyongeza ya mishahara kwa watumishi waliopo na kuajiri wengine wapya...
Wewe umedhulumu Haki za watu Kisa unapenda ndege...sawa Mzee wa Midege, See You in the ballot booth next year...UNA DHARAU SANA YAN!
Mh! Bora wewe unawaza ballot box! Yaani huyo mtu aondoke kwa sanduku la kura? Mkwere alivyovuruga katiba mpya, I knew we are done for good. Kwa kizazi chetu tusahau,hakuna haueni. Yoyote aliyetuumba atujalie tu tufe kwa amani. So hurt.Miaka mitano umekanyaga haki za watumishi wa Umma, unakiuka waziwazi sheria za Utumishi wa Umma Halaf unatamba kununua ndege kila kukicha, huku unatutukana na kuwatukana Nyerere Hadi Kikwete Kwamba hawakununua Ndege as if Ndege is someone's manhood...
Hata huwazi Kuwa wenzako Hizo hela unazozitumia wewe kwa kificho Bila Bunge wala CAG Kujua wenzako walizitumia kulipa nyongeza ya mishahara kwa watumishi waliopo na kuajiri wengine wapya...
Wewe umedhulumu Haki za watu Kisa unapenda ndege...sawa Mzee wa Midege, See You in the ballot booth next year...UNA DHARAU SANA YAN!
Wewe mtumishi wa umma unashinda JF!! Kazi unafanya saa ngapi?Popoma katika akili zako yani upo Kama kima au nyani !! Ni aibu kutumia picha ya commando netanyahu Kama utambulisho wako
Hapa Kazi Tu!Mh! Bora wewe unawaza ballot box! Yaani huyo mtu aondoke kwa sanduku la kura? Mkwere alivyovuruga katiba mpya, I knew we are done for good. Kwa kizazi chetu tusahau,hakuna haueni. Yoyote aliyetuumba atujalie tu tufe kwa amani. So hurt.
Wataalam😂😂😂 mbona yeye ndio mtaalam, seriously anajua kila kitu.Sijui wataalam wake wa uchumi ni akina nani??
Kazi ipi msiyolipa annual increment kwa watumishi? Nasasa watumishi walivyo na akili wanapigania kadi za ccm na kuanzisha magroup ya wasap ya kinafiki ila mngejua yaliyomo moyoni mwao msingefanya myafanyayo imagine mwezi huu mwalimu kakatwa 185000 ya bodi helsb bado paye amekatwa 222000 imagine mwl kama huyu atalipenda Hilo lichama la kimumiani?Wewe wala si mtumishi ni wakala wa mafisadi tu! Hapa Kazi Tu!
Annual increment mbona zinalipwa mkuu!! Ndiyo maana nikasema wewe si mtumishi wa umma!Kazi ipi msiyolipa annual increment kwa watumishi? Nasasa watumishi walivyo na akili wanapigania kadi za ccm na kuanzisha magroup ya wasap ya kinafiki ila mngejua yaliyomo moyoni mwao msingefanya myafanyayo imagine mwezi huu mwalimu kakatwa 185000 ya bodi helsb bado paye amekatwa 222000 imagine mwl kama huyu atalipenda Hilo lichama la kimumiani?
Unaushahidi wa hilo?Kwenye ndege ndipo anapoiba pesa nyingi kwa urahisi.
Wewe ni mtumishi wa umma? Kazi unafanya saa ngapi muda wooote huko kwenye mtandao alafu unadai mshahara uongezwe! Kwa lipi? Wee unadhani JPM hana akili?Kazi ipi msiyolipa annual increment kwa watumishi? Nasasa watumishi walivyo na akili wanapigania kadi za ccm na kuanzisha magroup ya wasap ya kinafiki ila mngejua yaliyomo moyoni mwao msingefanya myafanyayo imagine mwezi huu mwalimu kakatwa 185000 ya bodi helsb bado paye amekatwa 222000 imagine mwl kama huyu atalipenda Hilo lichama la kimumiani?
Waulize hao walimu Mara ya mwisho wamelipwa lini toka jp kaja na watumishi wanakataa kulipwa increament mpk leoAnnual increment mbona zinalipwa mkuu!! Ndiyo maana nikasema wewe si mtumishi wa umma!
Inaoneka una uchungu sana mkuu sio hilo tu la watumishi huyu jamaa baya zaidi ni hili la uminyaji wa democrasia hali iliyofanya vyombo vya habari kutoripoti habari zozote za wapinzani ambao walikuwa wanazungumza vitu vilivyokuwa vinawafungua wajinga ila sasa wajinga wamebaki kushangilia ndege tu bado ndege saba kutimia ndege 14 ni mtaji mzuri kisiasa ila si kimaendeleo
Wewe nakujua jikalie kimya nitakuumbuaWewe ni mtumishi wa umma? Kazi unafanya saa ngapi muda wooote huko kwenye mtandao alafu unadai mshahara uongezwe! Kwa lipi? Wee unadhani JPM hana akili?
Acha pumba unafikiri Watanzania ni wapumbavu sana wafanye kazi miaka minne bila kulipwa,kwani Tanzania ni msikiti au kanisa.Miaka mitano umekanyaga haki za watumishi wa Umma, unakiuka waziwazi sheria za Utumishi wa Umma Halaf unatamba kununua ndege kila kukicha, huku unatutukana na kuwatukana Nyerere Hadi Kikwete Kwamba hawakununua Ndege as if Ndege is someone's manhood...
Hata huwazi Kuwa wenzako Hizo hela unazozitumia wewe kwa kificho Bila Bunge wala CAG Kujua wenzako walizitumia kulipa nyongeza ya mishahara kwa watumishi waliopo na kuajiri wengine wapya...
Wewe umedhulumu Haki za watu Kisa unapenda ndege...sawa Mzee wa Midege, See You in the ballot booth next year...UNA DHARAU SANA YAN!
Increment sio chakula kwamba kila mda unaongeza tu, unaangalia na hasara utakayopata kwa kuongeza mishahara, serikali imeshaingia hasara za kutosha kwa kupandisha mishahara, nchi za wenzetu unapandisha mshahara ukiona value ya MTU ni kubwa ,Waulize hao walimu Mara ya mwisho wamelipwa lini toka jp kaja na watumishi wanakataa kulipwa increament mpk leo
Kumbe value ya walimu madaktari na manesi Ni ndogooo astaghafilulah ccm !! Ndio mlisema mtawaongeza watumishi mishahara kiruuuuuu siasa nyokoIncrement sio chakula kwamba kila mda unaongeza tu, unaangalia na hasara utakayopata kwa kuongeza mishahara, serikali imeshaingia hasara za kutosha kwa kupandisha mishahara, nchi za wenzetu unapandisha mshahara ukiona value ya MTU ni kubwa ,
Kumbe value ya walimu madaktari na manesi Ni ndogooo astaghafilulah ccm !! Ndio mlisema mtawaongeza watumishi mishahara kiruuuuuu siasa nyoko
Waulize hao walimu Mara ya mwisho wamelipwa lini toka jp kaja na watumishi wanakataa kulipwa increament mpk leo