Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Sisi watumishi serikali mishahara inatosha. Kama tumeweza kukaa miaka 4 bila nyongeza tutashindwaje muda uliobaki. Hata kama ni 10.

Sijasikia mtumishi aliyekufa njaa ama kukaba watu.

Nunua madege,jenga flaiova,esijira,stigl goji n.k

Tuje tupate neema uzeeni.
 
Annual increment mbona zinalipwa mkuu!! Ndiyo maana nikasema wewe si mtumishi wa umma!
Mkuu kwanza nikwambie tu ww unaonekana ni mshangiliaji tu !! Huna lolote nimekufatilia toka mwanzo sasa ndo nagundua ww ni mweupe sanaaaa! ,,,,ebu kabla ya kuendelea eleza dhana ya annual increment ni nini?
 
Kwanza sina uhakika ww kama ni mtumishi wa umma? Na kama ni mtumishi wa umma kweli basi inawezekana Upo kazini miiaka more then 15 or 20 so madaraja ,,kwako cyo ishu tena ,huwezi kusifia ujinga
 
Brain zero kabisa ww
 
Mbowe vipi ameiua demokrasia
 
Nadhan hata China ilipokuwa inafufuka, ilikuwa hivi. Nadhani anatumia kanuni ile ya ...njia zote zitakutana njia panda. Mkuu tutakutana njia panda tuwe na hiyo imani. Vyovyote tutakapopitia ili mradi tufike pale tunapopataka, sasahivi mwache raisi afyeke nyasi ili kutengeneza hizo njia za kukutania njia panda. Na hizo njia ni pamoja na maendeleo ya miundombinu na maeneleo ya wananchi kwa ujumla. Tukutane njia panda katika uchumi wa kati.
 
Unalia wewe, sisi hatuhusiki.
 
Usihangaike kujibishana na nyumbu huyu.
 
Mkuu wa Majeshi ni Ngosha
Katibu Mkuu hazina si ngosha tu, bali ni mpwae. Angalia lundo la mawaziri toka Ungoshani. Nishati, Biashara, Mifugo,Madini.
Akikosa ungsohani anahamia kanda ya Ziwa.
Yes ndio wengi nchi hii, ni asilimia 13 ya watanzania wote. Mlizoea kupendelewa enyi wenye meno yaliyooza kama kashata. Huu nibwakati mwingine.
 
Hata akiamua atawale miaka 20 zaidi tutamuunga mkono tu maana anafanya kazi zinazoeleweka.
Ngosha usiye na akili hata kidogo.
Juzi kaumwa. Mungu alikuwa Anam beep ajue yeye ni binadamu kama wengine aache kujimwambafai. Lesson not learnt.
 
Magufuli ni Rais wa wanyonge?
--------------------------------------------------------------

➡Wanyonge ni hawa wanaokunywa matope na kujitwisha ndoo kichwani halafu wanasikia imenunuliwa ndege ya 8 bado 3 na Kila ndege ni bilion 600. Hawa hawana hata ndoto ya kupanda ndege.

➡Wanyonge ni hawa wanaokunywa matope na kilimo cha mkono, kisicho na pembejeo bora, wanasomesha kwa tabu watoto wao wakihitimu vyuo wanaambiwa wajiajili na wanaosema wajiajili nao walishindwa kujiajili wakaomba ajira kwa wanyonge leo wamewasahau.

➡Wanyonge ni hawa wanaozungusha karanga na mbogamboga jua kali halafu wanaambiwa watozwe 20,000/-elfu ishirini.

➡Wanyonge ni hawa wanaoambiwa elimu bure halafu vikao vya wazazi vikiitishwa shuleni wanakuta watoto wao wamekaa chini, hakuna madawati, hakuna vyoo inawabidi wachangie kunusuru watoto wao na adha.

➡Wanyonge ni hawa wanaochagua viongozi halafu wanabadilishiwa wasiemtaka na kipigo juu?

Natafuta tafsiri ya Rais wa wanyonge naomba atakaepata anisaidie .

 
Plan B pekee mifumo ya umwagiliaji na kuvuna maji ya mvua ya ziada angeweza kuongeza tija ya kilimo na malighafi za uhakika viwanda. Ingepunguza wanyonge wengi na multiplier effect ya uchumi ingekuwa kubwa sana. Hata hitaji la std gauge nk ningefuata
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…