Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Yani ni sawa na mtu ahoji kwamba badala ya kuchukua hela ufungulie duka kwanini hiyo hela usiwanunulie watoto nyama wakala?
We ni mjinga kweli. Maji ni hitaji la msingi sio anasa!
 
Watoto wetu wanasoma bure, wamachinga hawasumbuliwi, mamantilie hawanyanyaswi kwa kumwagiwa chakula na mgambo wa jiji kama walivyokuwa wakiwatesa.

Yapo mengi mno.
 
Shida ni kwamba Vyama vyote Chadema na CCM mambo ya usafiri wa nga kama kununua ndege wote walikua na mawazo hayohayo.
 
Umasikini wa kujitakia, mtu huna hela unaishi kijijini kula shida bado unazaa watoto 10, huna pa kuwalisha, watu wa vijijini wanatuongezea umasikini bora wachinjwe wabaki wale wanaojiweza, hawa wengine futilia mbali kama iddi amini

Daah
 
Ukombozi wa wanyonge ...tayari leo hii tuna tabaka la makabaila wachache na watwana wengi...vipaumbele vya makabaila nitofauti na mahitaji ya watwana

Mnyonge hapigani kwa fedha
Ni dhahiri kwamba tumefanya makosa katika kuchagua silaha, silaha tuliyoichagua ni fedha tunataka kuondoa unyonge wetu kwa kutumia silaha ya wenye nguvu, silaha ambayo sisi wenyewe hatuna, bila fedha mapinduzi yetu hayawezekani nikama tunasema fedha ndiyo msingi wa maendeleo

Mh.mbunge anaposema kuwa wananchi wa sehemu yake wana shida y maji,je serikali ina mpango gani wa kuondoa shida hiyo..Jibu analotaka ni kwamba serikali inao mpango wa kuwapa maji wananchi wa sehem hiyo-KWA FEDHA

Jibu likiwa serikali haina fedha maana yake ni nini? Maana yake ni kuwa wananchi wa Tanzania hawana fedha kiasi walichonacho kutozwa kodi, na kodi hiyo ndiyo itatupajia maji tunayoyaitaji. Tunapotaka serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo mengine ya nchi tunataka serikali itumie fedha zaidi, na kama serikali haina fedha zaidi tunataka izipate yaani iongeze KODI

Kudai serikali itumie fedha nyingi bila kukubali kodi zaidi ni kuidai serikali ifanye MIUJIZA ni sawa na kudai maziwa zaidi bila kutaka ng'ombe akamuliwe tena

Tunatambua ng'ombe hana maziwa zaidi kwamba hata ng'ombe mwenyewe angependa yanywewe na ndama wake ...

Mwisho ni muhimu pia kujua nini kipaumbele cha makabaila walio wengi...
 
Watanzania wengine watu wa ajabu sana ati wanalaumu rais amemwajiri mpwa wake nk. Hivi huyu mpwa wake ni raia wa nchi gani? Yeye hana haki kama wengine ambao ni Watanzania vile vile? Wapinzani waache kulialia kama kima. Hapa Kazi tu!
 
Mambo makuu 4 yanayochukiza Watanzania kwa sasa

1. Hali mbaya ya Uchumi: Maisha magumu kwa Wananchi- DHULMA
2. Ajira: Vijana wengi kutokuwa na kazi
3. Uhuru: Uhuru wa watu kuminywa na watu kuishi kwa HOFU
4. Usalama: Matukio ya utekaji na mauaji ya watu kushamiri - UKATILI
 
Nice
 
We jamaa inawezekana ukawa ni mjinga ila hujijui! Hapo kwenye post yako inaonyesha hadi 2015 dola iilikuwa 2200, so kwa maana yake ni jk kaiacha dola 2200, ila sasa ivi ni 2300 , so miaka minne ya magu imepanda kwa shilingi 100 tu!
Hebu muogope Mungu ,acha kusema uongo.JK aliacha dola moja ulikuwa 1700/-
Hebu pita hapa:
The Us Dollar to Tanzanian Shilling Historical Exchange Rates Conversion Page for 2014. - Pound Sterling LIVE
DateOpenClose
Wednesday 31 December 20141 USD =1,737.1600 TZS1,735.9900 TZS
Tuesday 30 December 20141 USD =1,733.4900 TZS1,736.3700 TZS
Monday 29 December 20141 USD =1,718.5000 TZS1,733.6400 TZS
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…