GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
We ni mjinga kweli. Maji ni hitaji la msingi sio anasa!Yani ni sawa na mtu ahoji kwamba badala ya kuchukua hela ufungulie duka kwanini hiyo hela usiwanunulie watoto nyama wakala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mjinga kweli. Maji ni hitaji la msingi sio anasa!Yani ni sawa na mtu ahoji kwamba badala ya kuchukua hela ufungulie duka kwanini hiyo hela usiwanunulie watoto nyama wakala?
Serikali.kila kitu wanangojea selikali.
Hujaona hata point yangu iko wapi hapo ndio ukilaza wako ulipo.We ni mjinga kweli. Maji ni hitaji la msingi sio anasa!
Huna point yoyote wewe!Hujaona hata point yangu iko wapi
Umasikini wa kujitakia, mtu huna hela unaishi kijijini kula shida bado unazaa watoto 10, huna pa kuwalisha, watu wa vijijini wanatuongezea umasikini bora wachinjwe wabaki wale wanaojiweza, hawa wengine futilia mbali kama iddi amini
Ukombozi wa wanyonge ...tayari leo hii tuna tabaka la makabaila wachache na watwana wengi...vipaumbele vya makabaila nitofauti na mahitaji ya watwanaWanyonge ni watu ambao wanaoonewa na wale wenye wadhifa au nafasi fulani kwenye serikalini. Mfano awamu ya nne kulikuwa na kitu ile ya "unanijua mimi nani" waliokuwa wanasema hivyo ni wababe wanyonge walikuwa wanaufyata.
Ila kwa dhana ya maendeleo hatuwezi kuwa sawa ndo maana kuna Bar bia elfu 10 na nyingine bei elekezi ya TBL na kote kuna watu. Kwa hiyo huwezi kumfurahisha kila mtu.
Imechujaje wakati. Serikali za mitaa vyama vya upinzani vinanyimwa form kibabe. Wanajua CCM watu hawaitaki kabisa.Hii nyimbo yako imepigwa sana na wengine mpaka imechuja.
Huu siyo utunzi ni ukweli. Kwani haya hayapo? Au aliyeshiba hamjui mwenye njaa!!Mkuu ungekuja na utunzi mwingine siyo huu
Kulalama ndio jadi ya wabongo. Ukifuatilia kwa undani unakuta ukweli wa mambo sivyo kama unavyoandikwa humu jukwaani.Imechujaje wakati. Serikali za mitaa vyama vya upinzani vinanyimwa form kibabe. Wanajua CCM watu hawaitaki kabisa.
NiceMwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Hebu muogope Mungu ,acha kusema uongo.JK aliacha dola moja ulikuwa 1700/-We jamaa inawezekana ukawa ni mjinga ila hujijui! Hapo kwenye post yako inaonyesha hadi 2015 dola iilikuwa 2200, so kwa maana yake ni jk kaiacha dola 2200, ila sasa ivi ni 2300 , so miaka minne ya magu imepanda kwa shilingi 100 tu!
| Date | Open | Close | |
|---|---|---|---|
| Wednesday 31 December 2014 | 1 USD = | 1,737.1600 TZS | 1,735.9900 TZS |
| Tuesday 30 December 2014 | 1 USD = | 1,733.4900 TZS | 1,736.3700 TZS |
| Monday 29 December 2014 | 1 USD = | 1,718.5000 TZS | 1,733.6400 TZS |