Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mashabiki wote wa ccm tunawapa muda mfupi tu. Watagundua nini wanashabikia.
 
Kila ukifikiria inashangaza. Ikumbukwe hapa nazungumzia nafasi zinazoajiri watu wengi hususani sekta ya afya na elimu.

Bomu linalopikwa nadhani la Nuclear lina unafuu!
Si kweli jomba. Inaonekana ulikuwa unaota..uliuliza upewe takwimu za ajira zilizofanyika..hutaamini..fanya tafiti kwanza jomba kabla hujaropoka
 
Kila ukifikiria inashangaza. Ikumbukwe hapa nazungumzia nafasi zinazoajiri watu wengi hususani sekta ya afya na elimu.

Bomu linalopikwa nadhani la Nuclear lina unafuu!
Mvua zinanyesha nchi nzima , unasema magufuli akupe ajira?
Hizo ndo zero brain at work.
Nenda kalime , mbuga zote zina maji.
 
Na kwa wanaostaafu utumishi hakuna "lump sum" wala "pension".
 
Na haijulikani hiyo miaka mitano ya kipindi Cha pili Hali itakuwaje.
Kwa mwendo huu huenda kitakuwa kipindi kigumu zaidi toka Mwenyezi Mungu alivyoumba Mbingu na Nchi na vyote vilivyomo.
Sasa hivi maisha ni magumu kupita awamu zote, hasa kwa Wananchi waishio Vijijini.
Kisa ni miundombinu, watu wanapoteza maisha sababu ya ujenzi.

Viongozi kumbukeni
kuwa.
-Maendeleo ya Miundombinu Ni vyema yaende sambamba na ustawi wa jamii.
-Na Kama Kuna kuchagua moja Basi Ustawi wa Jamii lazima upewe kipaumbele.
-Wananchi wanahitaji kuishi sasa, kama wale wakale walivyoishi hapo zamani, na wa baadae wataishi
baadae.
-Kuwanyima haki za msingi watu wanayoishi leo kwa kusingizia kuboresha maisha ya watu wa baadae ni kukiuka kanuni za msingi za maisha ya Binadamu.
-Asili huzungumza,
Asilihushauri,
Asilihutoa tahadhari.
Asili isiposikilizwa hutoa adhabu na haizuiliki na chochote.
Siku zote Ubaya hauna Mwisho mwema.
 
Ni uzwazwa kusubiri kuajiriwa na serikali
Itawezekana vipi wahitimu wote muajiriwe?
Nenda kalime,bado hujachelewa


Akili yako ni ndogo sana.

Zipo nchi wananchi Wanalipwa kwa mwezi. Wewe unazungumzia Wahitimu ambao hata milioni moja hawafiki.

Kama hawawezi kuwaajiri kwa nini waliwashikia viboko waende shule kuwafundisha ujinga ambao hautawasaidia.

Hicho kilimo Hata bibi yako si alikuwa analima.
 
Like
 
Hakuna bomu lolote katika nchi yenye watu vichwa maji hata wale wenye degree nne
Kila ukifikiria inashangaza. Ikumbukwe hapa nazungumzia nafasi zinazoajiri watu wengi hususani sekta ya afya na elimu.

Bomu linalopikwa nadhani la Nuclear lina unafuu!
 
Hivi kila mtu akilima nn kitatokea?
Mvua zinanyesha nchi nzima , unasema magufuli akupe ajira?
Hizo ndo zero brain at work.
Nenda kalime , mbuga zote zina maji.
 
Anatupeleka anapojua maana tumekubali kupelekwa.
 
Mvua zinanyesha nchi nzima , unasema magufuli akupe ajira?
Hizo ndo zero brain at work.
Nenda kalime , mbuga zote zina maji.
Wewe una Heka ngapi ?

Magufuli hana uwezo wa kunipa Ajira ila Ajira ni haki yangu katika taifa langu. Silipwi hela ya huyo kibwengo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…