Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.


Mkuu, unatunyima uhondo; jaribu kuweka japo madongo mawili japo kwa ufupi tu,
 

Please do that ASAP.
 
Nitakukumbusha
 
Ni kweli "mzalendo" wa kweli kama wazee was sacco na waigizaji- wazalendo hawawezi kumuunga Mkono Magufuli
 
Kama alifuta watu kazi kws ajili ya vyeti fake iweje Bashite aka Makonda bado yupo kazini?
Nimekutajia mtu anaefahamika na wengi na ushahidi upo kwenye public domain.
kwasababu ukuu wa mkoa hauhitaji cheti, na hakuna anaeweza kuthibitisha beyond reasonable doubt kuwa Makonda ana cheti feki. Makonda ameonekana kwenye kila shule inayoonekana kwenye vyeti vyake. Na Makonda ni loyal kwa Magufuli, akiambiwa jump haulizi how high yeye anaruka tu. Ukiwa na watu loyal wa aina yake uongozi wako unakua rahisi.
 
1. Ni mtu asiefuata sheria (unless sheria hiyo inaelekeza anachokipenda muda huo); mtu anaefuata sheria hawezi kamwe kumuambia mtu "akikupa ten percent ichukue....". [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
Kwa sasa Magufuli anaungwa mkono na kundi kubwa sana la Mapolisi na anastahili pongezi ni kiongozi wa kwanza duniani tokea vita kuu ya pili ya Dunia kupata uungwaji mkono wa aina hii

Kinachowavutia Mapolisi kumuunga mkono Magufuli ni nyongeza na marupurupu wanayomwagiwa na Utawala huu wa mkuu wa Malaika aliyeumbwa kwa jiwe.
 
Hoja ya 3... πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―βœ”βœ”βœ”βœ”
 
Kama alifuta watu kazi kws ajili ya vyeti fake iweje Bashite aka Makonda bado yupo kazini?
Nimekutajia mtu anaefahamika na wengi na ushahidi upo kwenye public domain.
Kwani Makonda kaajiriwa kwenye sekta/idara ipi. Mi navyojua makonda ni mteule hivyo muda wowote anaweza kutenguliwa
 
Ubadhirifu.

Andika vizuri wewe.
 
Sure
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…