Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Nimetoka kumaliza kusoma kitabu cha rais mstaafu Benjamin William Mkapa, kinaitwa "My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers".
Ndani huko kapiga madongo sana uongozi wa nchi wa siku hizi, na katika madongo hayo, mengi sana yanamgusa Magufuli, ingawa hakumtaja kwa jina.
Nitatafuta muda niandike full review.
Mkuu, unatunyima uhondo; jaribu kuweka japo madongo mawili japo kwa ufupi tu,