HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Unaweza kututajia wafanyakazi wakiofukuzwa bila kufuata sheria? Na wananchi gani hao wanalalamika kuongozwa bila kufuata sheria, na walimu walioambiwa madawati yakiharibika watachukuliwa hatua wao hawajui wajibu wao wa kukinda mali za shule?Nani alikwambia wananchi wanataka maendeleo bila kujali kama wanaongozwa kwa mujibu wa sheria? Leo kura zikipigwa tena Magufuli anaweza kupata kura za watumishi anaowafukuza bila kufuata sheria? Anaweza kupata kura za wanafunzi aliowaita vilaz.a? Anaweza kupata za walimu aliosema wakatwe mishahara madawati yakivunjika?
Kwa nini tunamdanganya rais wetu akosee baadae tuanze kumcheka kama Kikwete? Lakini akiiharibu Tanzania tunafaidika nini?