HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,887
Unaweza kututajia wafanyakazi wakiofukuzwa bila kufuata sheria? Na wananchi gani hao wanalalamika kuongozwa bila kufuata sheria, na walimu walioambiwa madawati yakiharibika watachukuliwa hatua wao hawajui wajibu wao wa kukinda mali za shule?Nani alikwambia wananchi wanataka maendeleo bila kujali kama wanaongozwa kwa mujibu wa sheria? Leo kura zikipigwa tena Magufuli anaweza kupata kura za watumishi anaowafukuza bila kufuata sheria? Anaweza kupata kura za wanafunzi aliowaita vilaz.a? Anaweza kupata za walimu aliosema wakatwe mishahara madawati yakivunjika?
Kwa nini tunamdanganya rais wetu akosee baadae tuanze kumcheka kama Kikwete? Lakini akiiharibu Tanzania tunafaidika nini?
Kama kukinda Sawa waadhibiwe.Unaweza kututajia wafanyakazi wakiofukuzwa bila kufuata sheria? Na wananchi gani hao wanalalamika kuongozwa bila kufuata sheria, na walimu walioambiwa madawati yakiharibika watachukuliwa hatua wao hawajui wajibu wao wa kukinda mali za shule?
Labda raia wa jf. Sisi roho kwatu.
Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Ni kweli tumepotea, lkn tumepotea kutoka kwenye mfumo ule holela wa miaka 10 ilopita tunaelekea kwenye mfumo mpya wenye misimamo kiutekelezaji, uchapakazi, nidham ya kazi na heshima kwa wanyonge...so kama ulizoea bwelele na kula kwa kupiga domo anza kupotea kutoka huko, maana if u doesnt want to change, change will change u...
Wewe ni yule hater ambao huna mtu au ndugu aliyearthirika na kukurupuka kwa huyu jamaa.Wewe ni kimaskini fulani ambaye kutwa unawatakia wengine walio juu yako mabaya.
Sio kila mtu aliyenazo ni mwizi na sio kila tu anayelalamika ujinga na upumbavu wa kuwagawanya watz ni maskni tu hata matajiti wapo. Uongozi unahitaji hekima na sio kuropoka na kufanya mambo bila kuangalia kona zote.
Wewe ni yule hater ambao huna mtu au ndugu aliyearthirika na kukurupuka kwa huyu jamaa.Wewe ni kimaskini fulani ambaye kutwa unawatakia wengine walio juu yako mabaya.
Sio kila mtu aliyenazo ni mwizi na sio kila tu anayelalamika ujinga na upumbavu wa kuwagawanya watz ni maskni tu hata matajiti wapo. Uongozi unahitaji hekima na sio kuropoka na kufanya mambo bila kuangalia kona zote.
Google....!!!!Unaweza kututajia wafanyakazi wakiofukuzwa bila kufuata sheria? Na wananchi gani hao wanalalamika kuongozwa bila kufuata sheria, na walimu walioambiwa madawati yakiharibika watachukuliwa hatua wao hawajui wajibu wao wa kukinda mali za shule?
Ni swala la muda tu kabla hatujafika tunakotaka kufika kama walivyofika wengine kwa kutumi njia ambayo nasi tunataka kuitumia.
Yangu macho na masikio.