Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wakati Magufuli anaingia madarakani nilimwambia mtu, Magufuli hawezi kutumia akili katika mambo ya kutumia akili lakini anaweza kutumia nguvu kwenye mambo yanayoweza kutumia nguvu.

Jana kanipigia kusema nimeiona sasa
 
..yaani na utu uzima wako hadi uelezwe na Magufuli kuvaa barakoa?!

Acha chuki zako za kishamba.
 
Kibwetere style of manslaughter??
 
Mmmmh. Mimi chichemi. Hongera Kikwete kwa kuonyesha nini raia wa nchi hii wafanye wakiwa kwenye mikusanyiko. "Action is louder than words".
 
Swali fikirishi Mungu katupa akili je tumeshindwa kuzitumia vizuri
 

Kimsingi huyu jamaa hakuwa na uwezo wa nafasi ya urais. Anaweza kwenye eneo la miundombinu tu, lakini hakustahili kuwa rais. Wapambe wake wanatumia vitisho na ghiliba kutushurutisha tuamini kuwa ni rais mzuri, lakini ukweli sio rais sahihi.
 
Ndalichako chukua huu uzi uingize kwenye Mtaala wa somo jipya la HISTORIA YA TANZANIA
 
Sahihi kwake ilitakiwa abakie kwenye kuhesabu kilometa za barabara huku amepwaya Sana, hawezi tuvusha, Hadi Sasa amegusa maslahi ya wachache huku wengi wakitopea kwenye ufukara.

Kabomoa jengo la Tanesco for nothing Hali daraja halijafika kule.
 
Mtawala na kiongozi ni watu wawili tofauti. Mmoja hutumia reasoning capacity na mwingine hutumia claiming capacity
 
Bad
Vipi hujapaona tunapoelekea mpaka Sasa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…