MKuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa....
HAYA ZUNGUSHAA ZUNGUSHAAA TENAA ZUNGUSHA MIKONOOO....MABADILIKOOOO!!!
Jibu kwa hoja acha kuonesha upungu wako wa akiliWewe nyumbu unataka ujue taifa linakoenda ili iweje.
Kazi yako ni kudeki barabara ili fisadi apite
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida. Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa? Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi. Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Twaelekea Nungwi yakheeeeeh
Mkuu huyo unayemuuliza mwenyewe hajui lolote hapo anatetea buku 7 tuWewe ambaye huzungushi mikono na unayejua mwelekeo si utwambie tunaelekea wapi?
Kweli?Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Mimi nadhani kuwa raisi anania njema ya watu wa taifa hili lilokuwa sio viwanda Bali nitaifa lá madukani na vijiwanda vidogo vidogo ushauri wawangu kwa Raisi akaae Meza mmoja na walio bobea kwenye uchumi na wafanya biashara wakubwa wa Kati na wa chini ushuru uwe wasaizi ya Kati kodi za saizi ya Kati tuangalie miezi 6 tu tuko wapi
Sasa tulimpa kura ili aende ikulu kufanya nini ati?.Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Muda gani apewe? Anataka kukata mwaka huyu eti!!
Tatizo anadhani kuongoza watu wanaokaribia milioni 50 na nchi yenye kilometa za mraba zaidi ya 900,000 ni mchezo!!
Anadhani anaongoza wale wa kupachikiwa milioni 8 anaodhani walimpa kura!!
Amini usiamini 2020 itagonga ngooo huku hadithi zikiwa hizi hizi za apewe muda...apewe muda huku majipu yakiibuka mengine na haya yaliyotumbuliwa yakiwa yamejihuisha!!
Siasa na wanasiasa wa Tanzania ni shiiida tupu...!!
Nchi hii ukiifikiria sana kichwa kinauma!Tanzania is a basket of food for east and central Africa ila tumekosa uongozi wa kutuwezesha kutumia fursa ya ardhi bora tuliyonayo nasi kama mazuzu tunashangilia tu hata upuuzi imradi tu umesemwa na chama chetu.Malawi mwaka huu wana njaa sana can you imagine wanafikiria kununua mahindi Blazil,thousands of mileages away why Tanzania Mbeya watu hawana soko LA mahindi?
Watu hawafanyikazi kwa masaa yawapasayo kuwa kazin.au hafanyi kabisa wanataka vya kudandia tuu.maisha ya sasa piga Kazi usiangalie eti serikali ikuwezeshe.wewe nchi yako umeifanyia nn?.watu mlishazoea wizi makazin .kupeana Kazi kindugu ..kupata Kazi kwa cheti feki.kwa maisha ya sasa lazima yawasumbue.hvyo tafuten mbinu mpya.hata mtoto wa baba jambazi pindi baba yake auliwapo kwa ujambazi huwalaum saanaaa hao walio muua babayake.